Basi mimi nachukulia poa na vipi nikikutana na wavaa kaki nikakuta jeshi Nitakua nakosea maana kwa kirefu ni jeshi la polisiHamna ubaya kumuita Daktari kwanza maana yake ni Mganga au tabibu kwahiyo kufupisha mambo we muite Daktari tu mambo mengine watajuana wao huko ndani kwenye mpango kazi wao wa hospital
Majeshi yako tofauti huwezi kumuita askari magereza polisi, wala polisi ukamuita askari magereza ila wanatumia jina moja la AskariBasi mimi nachukulia poa na vipi nikikutana na wavaa kaki nikakuta jeshi Nitakua nakosea maana kwa kirefu ni jeshi la polisi
Ukienda vijijini kuishi huko ndio utajua ukubwa wa huyu mtu na umuhimu wake,na kama ni mywaji saa 4 tu utamkuta tayari kapendeza,ila wanasaidia aisee kuliko kukosa kabisa......Ukistaajabu ya mussa utayoona ya firauni.
Yani hapa Tz unakuta mtu anajiita na kujimwambafy dokta na anapata heshima kubwa Kwa watu kama mtu aliesoma sana lakini ukijafatilia kwa undani unakuta ni certificate holder wa clinical medicine au nursing.
Mtu huyohuyo hata majukumu Yake ya msingi yanamshinda hata utu hana, anaweza kubali mtu afe uku anamuangalia kisa elf 30, loh!!!!!.
Kazi kubwa anayoweza ni kutukana wajawazito tu na kupiga umbea.
USHAURI: ukiona elimu ya kuunga unga basi kuwa ata muungwana usiruhusu watu wakijaji kupitia upeo mdogo wa kukariri na kuelewa madesa tu, Kuna MUDa utu na heshima ni bora kuliko vyeti.
Moderator Cookie Principled Payge Naomba hyo image itokee Kwa ukubwa hapo mbele
sasa mkuu,mtaalamu wa physiotherapy na mtaalamu wa maabara ubadhan title zao tuwaiteje?Nimeenda juzi sehemu, Nikakutana na jamaa ana degree ya u-nurse akaniambia nimsevu daktari, kuna mwingine ni physiotherapy akaniambia nimsevu daktari wa mazoez🤣mwingine ni lab tech naye kaniambia nimsevu Dokta duh Yani kazi kazi kweli kweli
Huyu kwa kiswahili kwa kingereza tu namuita physiotherapist(kwa kiswahili ni mtaalamu wa tiba Za viungo na mazoezi)sasa mkuu,mtaalamu wa physiotherapy na mtaalamu wa maabara ubadhan title zao tuwaiteje?
Sio sawa. Maana wakiharibu wao, watu wanadhani ni daktari ameharibu. Wanawachafulia wenzao majina na fani. Kama walitaka kuwa madaktari kwanini walifeli?Hamna ubaya kumuita Daktari kwanza maana yake ni Mganga au tabibu kwahiyo kufupisha mambo we muite Daktari tu mambo mengine watajuana wao huko ndani kwenye mpango kazi wao wa hospital
Alafu siku hizi tumerahisishiwa kazi sana, ingia hapa kwenye database yao, unampata vizuri kama hajakudanganya jina lake. Hii ni kama ya wanasheria. Janjajanja sana watu. Utapeli tu mitaani. Ulaya unafungwa kwa kutoa false info na impersonation.Ukistaajabu ya mussa utayoona ya firauni.
Yani hapa Tz unakuta mtu anajiita na kujimwambafy dokta na anapata heshima kubwa Kwa watu kama mtu aliesoma sana lakini ukijafatilia kwa undani unakuta ni certificate holder wa clinical medicine au nursing.
Mtu huyohuyo hata majukumu Yake ya msingi yanamshinda hata utu hana, anaweza kubali mtu afe uku anamuangalia kisa elf 30, loh!!!!!.
Kazi kubwa anayoweza ni kutukana wajawazito tu na kupiga umbea.
USHAURI: ukiona elimu ya kuunga unga basi kuwa ata muungwana usiruhusu watu wakijaji kupitia upeo mdogo wa kukariri na kuelewa madesa tu, Kuna MUDa utu na heshima ni bora kuliko vyeti.
Moderator Cookie Principled Payge Naomba hyo image itokee Kwa ukubwa hapo mbele
Tutaendelea kuwaita daktari kama umemaindi piga ngumi ukutaSio sawa. Maana wakiharibu wao, watu wanadhani ni daktari ameharibu. Wanawachafulia wenzao majina na fani. Kama walitaka kuwa madaktari kwanini walifeli?
Siiti bwege yeyote daktari kama sio daktari. Akasome tena. Tembea nchi za watu hakuna upuuzi kama huu. Mipaka ya kila mtu ya kazi inaeleweka. Daktari mtu mkubwa wa maana , noble profession alafu kenge tu nimuite kirahisirahisi. Ndio maana mnapata UTI sugu kutibiwa na hao vishoka.🤣Tutaendelea kuwaita daktari kama umemaindi piga ngumi ukuta
Hivi Msoga naye si Doctor Honoris Causa ? 😳Samia Hana diploma, ila anajiita dokta,PHD
Nilikutana na mtu ni daktari na anafanya upasuaji lakini nilivyo muuangalia usajili wake ni kakuta ni Bachelor holder lakini yuko allowed kupractise ASSISTANT MEDICAL OFFICER vipi na huyu ni mchane mchane. Hii imekaaje ?? Naomba ufafanuzi pleaseUkistaajabu ya mussa utayoona ya firauni.
Yani hapa Tz unakuta mtu anajiita na kujimwambafy dokta na anapata heshima kubwa Kwa watu kama mtu aliesoma sana lakini ukijafatilia kwa undani unakuta ni certificate holder wa clinical medicine au nursing.
Mtu huyohuyo hata majukumu Yake ya msingi yanamshinda hata utu hana, anaweza kubali mtu afe uku anamuangalia kisa elf 30, loh!!!!!.
Kazi kubwa anayoweza ni kutukana wajawazito tu na kupiga umbea.
USHAURI: ukiona elimu ya kuunga unga basi kuwa ata muungwana usiruhusu watu wakijaji kupitia upeo mdogo wa kukariri na kuelewa madesa tu, Kuna MUDa utu na heshima ni bora kuliko vyeti.
Moderator Cookie Principled Payge Naomba hyo image itokee Kwa ukubwa hapo mbele
Usipojua tofauti zao utafanyiwa malpractice uanze kulialia madaktari wabaya, kumbe nesi au mtu wa maabara kaharibu. Mnaishi kama sokwe nyani tu.Jamii imezoea wote waliopo Hospital ni Nurses and Doctors..haya mengine unajua wewe.
Ni sawa kama Sheli (Shell) ilivyozoeleka kituo cha mafuta..
Hakuna tofauti na anayesema Then ..Halafu..
Mambo mengi usiumie kichwa utakufa na mawazo.
Wenye taaluma zao wanajijua..haina kulazimisha hivyo vitu.
Wewe ndio zwaziwa,cheo cha udoctor Kipo mpaka kwenye dini na Business,wapo Doctor of Business Administration.Zwazwa kubwa lao wewe.Wapo PHD(Doctor of Phylosophy.Babu Tale darasa la Saba lakini ana Phd na ni mbunge kilaza kuliko wabunge wote.
Mwaka ni mganga wa kienyeji lakini anajiita MD.
Kuna bibi mmoja ana certificate ya ukatibu uhtasi (secretary) lakini leo hii nae ana title ya Dr na kiongozi mkuu wa li nchi moja lililojaa mazwazwa.