Hiki kipindi kadri siku zinavyozidi kwenda kinazidi kuwa cha kidhalilishaji.
Ma judge wamekuwa na tabia za kuattack utu wa watu kuliko hata kuangalia vipaji wanavyopaswa kuangalia.
Shilole alikuwa mchafu mpaka miaka ya hivi karibuni tu baada ya kushika vijipesa sasa ghafla kawa msafi mno kiasi cha kumdhalilisha mwanamke mwenzie kuwa ananuka kwapa kwenye national tv?
Dada wa watu mpaka kakosa pozi na kumuomba Shilole aache kumdhalilisha lakini bado linaendelea kubwatuka tu. Shilole ana kipaji gani kwanza mpaka afanywe kuwa judge?
Kwanini wasikae chini wakaangalia kina Simon Cowell kama huwa wanadhalilisha washiriki kwa umaskini wao?
Your browser is not able to display this video.
Salama na Master J wanaamini kudhalilisha washiriki ndio kuwa judge bora.
Dada wa watu mpaka kakosa pozi na kumuomba Shilole aache kumdhalilisha lakini bado linaendelea kubwatuka tu. Shilole ana kipaji gani kwanza mpaka afanywe kuwa judge?
David Williams, aliekuwa judge wa Britain's Got Talent alifukuzwa u judge kwa kumdhalilisha mshiriki bila hata mshiriki husika kusikia ila sauti yake tu ilivuja akiwa anaongea pembeni kuhusu huyo muhusika.
Lakini kwa Tanzania ambao wameiga tu toka nje hiki kipindi hawaoni athari yeyote kwa ma judge kudhihaki mavazi ya washiriki, muonekano na hata mapungufu yao kimaumbile.
Ritha kama una fikra kidogo tu, msimamishe Shilole haraka iwezekanavyo kwa udhalilshaji wake.
BASATA wapo busy kufungia nyimbo zinazokosoa mambo ya ovyo ya nchi ila watu wanaodhalilishwa hawana time nao.
Hiki kipindi kilipaswa kufungiwa siku nyingi sana kwa jinsi ma judge wanavyodhalilisha washiriki.
Ila Shilole anapatia wapi ujasiri wa kumwambia mwenzie ananuka kwapa wakati yeye mwenyewe kaja kujifundishia roll on huku mjini.
Ama kweli maskini akipata matako hulia mbwata.
Hiki kipindi kadri siku zinavyozidi kwenda kinazidi kuwa cha kidhalilishaji.
Ma judge wamekuwa na tabia za kuattack utu wa watu kuliko hata kuangalia vipaji wanavyopaswa kuangalia.
Shilole alikuwa mchafu mpaka miaka ya hivi karibuni tu baada ya kushika vijipesa sasa ghafla kawa msafi mno kiasi cha kumdhalilisha mwanamke mwenzie kuwa ananuka kwapa kwenye national tv?
Dada wa watu mpaka kakosa pozi na kumuomba Shilole aache kumdhalilisha lakini bado linaendelea kubwatuka tu. Shilole ana kipaji gani kwanza mpaka afanywe kuwa judge?
Kwanini wasikae chini wakaangalia kina Simon Cowell kama huwa wanadhalilisha washiriki kwa umaskini wao? View attachment 2807093

Kabisa. Shilole huwa nammithilisha na kina Dotto Magari. Ni ile mijitu isiyokuwa na staha wala utu. Litasema chochote ili mradi anahisi watu wanacheka.
Shilole hapaswi kupewa nafasi ya kuongea hadharani, abaki jikoni tu akombeleze masufuria yake liendelee kunenepeana kama puto.
At least Master J alionyesha utu lakini athari ilishatokea.
Kati ya wote pale, Shilole ndio anapaswa kujua hasa maana ya kunuka jasho sababu ya dhiki maana kakulia kwenye ufukara, lakini yeye ndie amekuwa wakumdhalilisha mwanamke mwenzie.