Bongo Star Search hiki mnachofanya ni udhalilishaji

Bongo Star Search hiki mnachofanya ni udhalilishaji

Hiyo mbaya sana.. yeye mwenyewe hawezi kufuta historia yake kamwe.. ana tatizo bado Shilole awaone wataalamu
Punguzeni basi hizo bullying wazee kwani na nyinyi hamuendi chooni hamnyi hamtawazi? We Coco huendi chooni?
 
Baada ya kumcheka kwanza.

At least Master J alionyesha utu lakini athari ilishatokea.

Kati ya wote pale, Shilole ndio anapaswa kujua hasa maana ya kunuka jasho sababu ya dhiki maana kakulia kwenye ufukara, lakini yeye ndie amekuwa wakumdhalilisha mwanamke mwenzie.

Nimemchukia na kumdharau Shilole kwa hili.

Nashangaa anamdhalilisha mwanamke mwenzake .Aisee, maskini alipata noti hubadilika dakika moja tu.
 
Hawajamuweka sababu ya mziki wamemuweka sababu ya KIPAJI kujitoa na kuhamasisha wengine wafanye km yeye watoke huko mafichoni waonyeshe walichonacho mbele ya Camera hata kwapa linalotema cheche show us what you gat,

Ndio awatukane wengine wananuka kwapa?. Mpaka majaji wameona aibu kiasi Cha kwenda kumkumbatia yule dada. Shilole kakosea Sana na hafai kuwa hata Jaji. Kwanza anapiga makelele humo.
 
Hastaili kuwa Jaji. Yule madam Ritha ataharibu hicho kipindi.
Ila ulistahiri wewe kua Jaji? Hilo Madam Ritha alishalizungumzia Clouds kipindi cha Leo Tena, people are talking Shilole hivi Shilole vile Mimi sioni kibaya yeye kua Jaji, as long as anafuata JD yake inavyosema
 
Back
Top Bottom