Bongo Star Search hiki mnachofanya ni udhalilishaji

Bongo Star Search hiki mnachofanya ni udhalilishaji

Ndio awatukane wengine wananuka kwapa?. Mpaka majaji wameona aibu kiasi Cha kwenda kumkumbatia yule dada. Shilole kakosea Sana na hafai kuwa hata Jaji. Kwanza anapiga makelele humo.
Nishakujibu tayari,
 
Hivi wewe unaweza ku-fake Jambo la kweli ukalifanya kua sio la kweli? Km wewe unaweza sio kila mtu anaweza some people's are real they ain't that fake, usifie ananukia wakati kikwapa kinanuka like seriously?

Alimfata yule dada wa Nini?. Majaji wenzake wamekaa. Anaenda kunusa washiriki Kama wananuka kikwapa, ndio kazi yake? Mtu amekaa kwenye foleni masaa SITA unategemea Nini?.
 
Alimfata yule dada wa Nini?. Majaji wenzake wamekaa. Anaenda kunusa washiriki Kama wananuka kikwapa, ndio kazi yake? Mtu amekaa kwenye foleni masaa SITA unategemea Nini?.
Hahaha, jamaa yangu una maswali ya kichokozi sana Ila Mimi sioni kibaya chochote, it's like nyinyi mnamtafutia tu zengwe akikaa mezani bila kuzungumza mtasema jaji gani hazungumzi chochote, akikaa mezani akazungumza mtasema, akisimama na kuzungumza mtasema jaji gani anakosoa wasanii huku amewafuata walipo, hakuna ambacho hamtasema na bado hamjasema ni mpaka mseme
 
Ila ulistahiri wewe kua Jaji? Hilo Madam Ritha alishalizungumzia Clouds kipindi cha Leo Tena, people are talking Shilole hivi Shilole vile Mimi sioni kibaya yeye kua Jaji, as long as anafuata JD yake inavyosema

Kwa hivyo anaunga mkono anatoyafanya Shilole. Mtu hajaanza kuimba kashaenda mbele mara anamtisha kwamba atampasua. Wote madam Ritha na Shilole akili zao zinafanana.
 
Sasa nimesema km ulivyosema nyinyi mnachofanya ni exaggerations tu, yaan kitu kidogo mnakikuuuza huoni mwinshoni majaji wameenda kumpa hugs what's wrong with that?
PASI NA SHAKA WEWE UTAKUWA NI SHILOLE.

KATIKA UZI HUU NI WEWE PEKE YAKO NDIO HUONI KOSA KWA KILICHOFANYIKA KWENYE HIYO VIDEO.

DADA SHISHI ENDELEA KUUZA UBWABWA UMAARUFU WA KINGESE WA KUDHALILISHA WENZIO ACHANA NAO.
 
Kwa hivyo anaunga mkono anatoyafanya Shilole. Mtu hajaanza kuimba kashaenda mbele mara anamtisha kwamba atampasua. Wote madam Ritha na Shilole akili zao zinafanana.
Sijaunga mkono na hakuna ambapo nimesema naunga mkono Ila nilichosema mnazidisha chumvi mnakoleza sana Jambo lionekane kubwa kumbe ni la kawaida tu, hakuna aliekaa uchi mbele za watu pale au alievuliwa nguo mkasema kadharirishwa, wewe hujui kuna mazungumzo mengine yaweza kua alikua anampima tu credibility yake yaweza kua hata hanuki kwapa you never know don't take everything for granted Mzee utapotea,
 
PASI NA SHAKA WEWE UTAKUWA NI SHILOLE.

KATIKA UZI HUU NI WEWE PEKE YAKO NDIO HUONI KOSA KWA KILICHOFANYIKA KWENYE HIYO VIDEO.

DADA SHISHI ENDELEA KUUZA UBWABWA UMAARUFU WA KINGESE WA KUDHALILISHA WENZIO ACHANA NAO.
Oishit nimekua Shilole tena? Duuh Mimi ni Mpetde kuna mtu kaniita Mende mda sio mrefu wewe sasa unaniita Shilole hivi kwanini hivyo?
 
Hiki kipindi kadri siku zinavyozidi kwenda kinazidi kuwa cha kidhalilishaji.

Ma judge wamekuwa na tabia za kuattack utu wa watu kuliko hata kuangalia vipaji wanavyopaswa kuangalia.

Shilole alikuwa mchafu mpaka miaka ya hivi karibuni tu baada ya kushika vijipesa sasa ghafla kawa msafi mno kiasi cha kumdhalilisha mwanamke mwenzie kuwa ananuka kwapa kwenye national tv?

Dada wa watu mpaka kakosa pozi na kumuomba Shilole aache kumdhalilisha lakini bado linaendelea kubwatuka tu. Shilole ana kipaji gani kwanza mpaka afanywe kuwa judge?

Kwanini wasikae chini wakaangalia kina Simon Cowell kama huwa wanadhalilisha washiriki kwa umaskini wao?


Salama na Master J wanaamini kudhalilisha washiriki ndio kuwa judge bora.

Acheni huu udhalilishaji
Mbona yeye ana papa flani hivi..[emoji23][emoji23][emoji23]

Inanuka kama chemba ya choo cha mahabusu pale staki sharii
 
Mmh wanaharibu kipindi , badala ya kuwa kipindi cha kuibua vipaji,kinakua kipindi cha udhalilishaji siyo vizuri kabisa
Nyinyi ndio mnavumisha ujinga hi o nekane kipindi cha hivyo, I already say yaweza kua hata hakua ananuka kwapa Ila nyinyi wanazengo kwa kuvumisha Mambo tena mnapenda yale Mambo machafu machafu ndio mnayavumisha mngesikia kashinda tunzo sehemu fulani hakuna ambae angesema kwanza mngefunikafunika tu watu wasijue au mngeanza kwa kuponda kashindaje huyu hasitahiri alistahiri fulani, stop
 
Back
Top Bottom