Bongo Star Search hiki mnachofanya ni udhalilishaji

Bongo Star Search hiki mnachofanya ni udhalilishaji

Hivi huyu dada akimshtaki kwa kumdhalilisha ni sawa? Au hakuna mashtaka ya kudhalilishwa utu?
Reaction yako na reaction yake ni tofauti don't you see the difference? Wewe ulivyoreact na yeye alivyoreact ni tofauti kabisa hauoni? Angalia tena hio video look at her facial expressions, did she react like how you do?
 
Hivi kuna watu bado wanaangalia huo ujinga? Hao majaji ni wapumbavu kupitiliza, bado wanadhani kuattack mtu personally ni part of musical judging.
Mkuu kumbuka wanakutana na washiriki zaidi ya 5000 per day wanaoingia kwenye audition, uwe unafikiria kwa upana kidogo usifikirie hapa tu
 
Lakini kuna uzi huku JF unamtaja Shilole alichangia pakubwa Samatta kusajiliwa Genk.
 
Utu wa mtu ni kitu cha kulinda mno, ukiona mtu anautweza utu wa mwingine ili achekeshe ujue huyu mtu hana utu.
Hivi kuna watu bado wanaangalia huo ujinga? Hao majaji ni wapumbavu kupitiliza, bado wanadhani kuattack mtu personally ni part of musical judging.

Hili la Shilole kuwa jaji ndio limenishangaza, anajua nini kuhusu muziki? Wamewakosa hata akina Majani?
 
Back
Top Bottom