Bongo Star Search hiki mnachofanya ni udhalilishaji

Bongo Star Search hiki mnachofanya ni udhalilishaji

kuna watu hawajui kwamba vipo vikwapa vya asili,yaani sio kwamba mtu haogi au ni mchafu,kosa kwake ni kutoka jasho tu,balaa. Sisi wengine tunajua na wala huwa sio mada.

huyu kaamua kumdhalilisha mwanamke mwenzake,eti anampa hela akanunue perfume,yaani ndio kakazia kabisa upuuzi wake.
 
Hili la Shilole kuwa jaji ndio limenishangaza,
Hili lilishazungumziwa tayari na limekwishajibiwa tayari, Ila bado mnauliza na mnashangazwa yupo pale sio tu km jaji au Msanii au muimbaji au Mchekeshaji n so forth Ila pia ni km influencer kwenye masuala mazima ya ujasiriamali muwe mnafuatilia basi wanapotoa majibu ya maswali yenu
 
Nionavyo mimi, kumweleza mhusika ni sawa. Pengine mhusika haoni hilo kwake. Lakini njia aliyotumia kumweleza ni ya kumdhalilisha kuliko kumsaidia, kwa kumsema hadharani namna ile. Angemwambia tu kwa faragha na hata kumsaidia kumpa nondo za kujiweka swafi kama mwanamke mwenzake.
 
kuna watu hawajui kwamba vipo vikwapa vya asili,yaani sio kwamba mtu haogi au ni mchafu,kosa kwake ni kutoka jasho tu,balaa.
sisi wengine tunajua na wala huwa sio mada.

huyu kaamua kumdhalilisha mwanamke mwenzake,eti anampa hela akanunue perfume,yaani ndio kakazia kabisa upuuzi wake.
Wewe ndio umereact tofauti,
 
Hiki kipindi kadri siku zinavyozidi kwenda kinazidi kuwa cha kidhalilishaji.

Ma judge wamekuwa na tabia za kuattack utu wa watu kuliko hata kuangalia vipaji wanavyopaswa kuangalia...
hao vijana wanatafuta maisha, hapo walipo hana gari, hana mafuta, hana sabuni, ni shida tupu, huwa nakutana na watu dsm wana vikwapa hivyohivyo lakini nawaelewa, kwasababu hata akioga, anapanda daladala, anagombania gari, anatembea kwa mguu majasho everywhere, mwendokasi wenyewe tu ukipanda wengine hawajaoga, utashindwaje kuwa na kikwapa?

Mimi mwenyewe siku nisipotembea na gari dar huwa nanuka kikwapa. angekuwa amemwambia mwanaume labda, ila kumdhalilisha mwanamke mwenzie hivyo, amefeli pakubwa sana, anatakiwa aombe radhi na aondolewe kwenye hayo mashindano.
 
Back
Top Bottom