Bongo Star Search hiki mnachofanya ni udhalilishaji

Shishi nae ni msafi nani kasema?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hebu atupishee nae, km kachoka kulea msago wake atulizanee, mxxiiieeeew
 
Hiki kipindi kadri siku zinavyozidi kwenda kinazidi kuwa cha kidhalilishaji.

Ma judge wamekuwa na tabia za kuattack utu wa watu kuliko hata kuangalia vipaji wanavyopaswa kuangalia.

Shilole alikuwa mchafu mpaka miaka ya hivi karibuni tu baada ya kushika vijipesa sasa ghafla kawa msafi mno kiasi cha kumdhalilisha mwanamke mwenzie kuwa ananuka kwapa kwenye national tv?

Dada wa watu mpaka kakosa pozi na kumuomba Shilole aache kumdhalilisha lakini bado linaendelea kubwatuka tu. Shilole ana kipaji gani kwanza mpaka afanywe kuwa judge?

Kwanini wasikae chini wakaangalia kina Simon Cowell kama huwa wanadhalilisha washiriki kwa umaskini wao?

Salama na Master J wanaamini kudhalilisha washiriki ndio kuwa judge bora.

Acheni huu udhalilishaji
Salama na Master Jay hawajasshiriki udhalilishaji huo. Walienda kumpa moyo mshindani kwa kumkumbatia
 
Hiki kipindi kadri siku zinavyozidi kwenda kinazidi kuwa cha kidhalilishaji.

Ma judge wamekuwa na tabia za kuattack utu wa watu kuliko hata kuangalia vipaji wanavyopaswa kuangalia.

Shilole alikuwa mchafu mpaka miaka ya hivi karibuni tu baada ya kushika vijipesa sasa ghafla kawa msafi mno kiasi cha kumdhalilisha mwanamke mwenzie kuwa ananuka kwapa kwenye national tv?

Dada wa watu mpaka kakosa pozi na kumuomba Shilole aache kumdhalilisha lakini bado linaendelea kubwatuka tu. Shilole ana kipaji gani kwanza mpaka afanywe kuwa judge?

Kwanini wasikae chini wakaangalia kina Simon Cowell kama huwa wanadhalilisha washiriki kwa umaskini wao?

Salama na Master J wanaamini kudhalilisha washiriki ndio kuwa judge bora.

Acheni huu udhalilishaji
Harmonize alikataliwa Bongo Star Search ya huyu huyu Madam Rita, lakini leo Hii hakuna aliyeshinda Bongo star search mwenye asilimia 5% tu ya Mafanikio ya Konde Boy, hii kitu ni Scam kama Scam nyingine tu, hizo hela bora wangewalipia ada watoto wa vituo vya Kulelea Mayatima.
 
Sijakuelewa unapousisha umasikini na kikwapa.
Nilichomaanisha sio issue ya umasikini nimemaanisha yeye yupo kazini anafanya kazi anaingiza Pesa, haina haja ya kumsema vibaya like hujui nini kilikua kinaendelea na kwanini director karuhusu ile clip iende na iwe viral lastly nikamaliza kwa kusema yaweza kua hata hakua ananuka kikwapa Ila tu yamemtoka maneno kwenye mazungumzo, ushaelewa
 
Harmonize alikataliwa Bongo Star Search ya huyu huyu Madam Rita, lakini leo Hii hakuna aliyeshinda Bongo star search mwenye asilimia 5% tu ya Mafanikio ya Konde Boy, hii kitu ni Scam kama Scam nyingine tu, hizo hela bora wangewalipia ada watoto wa vituo vya Kulelea Mayatima.
Hii ni topic nyingine pana sana, ukianza kuizungumzia hapa hapatatosha huwezi kuonyesha umahiri wako ndani ya dakika 1 na sekunde 45, itoshe kusema hivyo
 
Nyinyi ndio mnavumisha ujinga hi o nekane kipindi cha hivyo, I already say yaweza kua hata hakua ananuka kwapa Ila nyinyi wanazengo kwa kuvumisha Mambo tena mnapenda yale Mambo machafu machafu ndio mnayavumisha mngesikia kashinda tunzo sehemu fulani hakuna ambae angesema kwanza mngefunikafunika tu watu wasijue au mngeanza kwa kuponda kashindaje huyu hasitahiri alistahiri fulani, stop
Sijaelewa ulichoandika, unamaanisha hujasikia hayo maneno ya kunuka kikwapa aliyomwambia? Kwako is it ok? Tunavumisha nini kwamba siyo kweli ni editing? Ungekua wewe ungefunika funika?
 
Yaan hauelewi nnachokwambia na kukuelewesha sio kazi ndogo nimesemaje yaweza kua alikua anampima tu credibility yake yaweza kua alikua hanuki kwapa ni neno tu lilimtoka kuchangamsha umati but you viewers n listeners mmefika mbali mmeanza kumvua nguo Shilole waziwazi kuonyesha namna gani mnamchukia sio fair
 
Hv kwanza nani anafatiliaga BSS siku hizi??
Ilikuwa inanoga kipindi mtangazaji ni Ceaser
Siku hz wamemuweka huyo Esther Mena Ana makelele sana na sifa za kijinga
Watoto wako wanaopenda kuimba wanafuatilia, waimbaji tofauti wanaosoma vyuo vya sanaa wanafuatilia kujifunza masuala tofauti tofauti watu wa vipindi vya redio wanaotafuta mapresenter na maMc wanafuatilia, list ni ndefu
 
Yaan hauelewi nnachokwambia na kukuelewesha sio kazi ndogo nimesemaje yaweza kua alikua anampima tu credibility yake yaweza kua alikua hanuki kwapa ni neno tu lilimtoka kuchangamsha umati but you viewers n listeners mmefika mbali mmeanza kumvua nguo Shilole waziwazi kuonyesha namna gani mnamchukia sio fair
Kwa kweli kunielewesha kwenye hilo si kazi ndogo, hongera wewe mwenye ubongo mwepesi wa kupambanua mambo kwa tafsiri tofauti na alichokisema mhusika mwenyewe, ila kama ndiyo kumpima mtu kwa maneno ya udhalilishaji hivo aah hapana.
 
Hili shindano lilovyoanza lilikuwa na mvuto kidg sijui kwasasa wanao lifuatilia
Mvuto upo ila sasa wameongeza na vitu vingine kulinogesha kidogo ili baadhi ya watu wenye talents tofauti na kuimba nao waitumie hio platform kuonyesha vipaji vyao, sasa wewe km ni Mc nenda katuonyeshe kipaji chako tukuone unaweza ukapata wateja kabla hata shindano halijaisha
 
Watoto wako wanaopenda kuimba wanafuatilia, waimbaji tofauti wanaosoma vyuo vya sanaa wanafuatilia kujifunza masuala tofauti tofauti watu wa vipindi vya redio wanaotafuta mapresenter na maMc wanafuatilia, list ni ndefu
Sawa balozi wa kujitegemea
Washauri wapeleke hicho kipindi Chao kwenye channel zenye subscribers wengi zaidi kama azam au dstv...maana huko startimes kwakweli hawapati viewers
 
Kwa kweli kunielewesha kwenye hilo si kazi ndogo, hongera wewe mwenye ubongo mwepesi wa kupambanua mambo kwa tafsiri tofauti na alichokisema mhusika mwenyewe, ila kama ndiyo kumpima mtu kwa maneno ya udhalilishaji hivo aah hapana.
Wewe umereact tofauti Ila yeye hajareact km wewe ulivyoreact you see the difference?
 
Sawa balozi wa kujitegemea
Washauri wapeleke hicho kipindi Chao kwenye channel zenye subscribers wengi zaidi kama azam au dstv...maana huko startimes kwakweli hawapati viewers
Viewers wapo sio Startimes tu ukiingia YouTube pia ukiingalia utakuta tu ni wewe na bando lako tu mkuu,
 
Back
Top Bottom