This is proof that money can't buy you class.
David Williams, aliekuwa judge wa Britain's Got Talent alifukuzwa u judge kwa kumdhalilisha mshiriki bila hata mshiriki husika kusikia ila sauti yake tu ilivuja akiwa anaongea pembeni kuhusu huyo muhusika.
Lakini kwa Tanzania ambao wameiga tu toka nje hiki kipindi hawaoni athari yeyote kwa ma judge kudhihaki mavazi ya washiriki, muonekano na hata mapungufu yao kimaumbile.
Ritha kama una fikra kidogo tu, msimamishe Shilole haraka iwezekanavyo kwa udhalilshaji