Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 8,024
- 11,546
Shilole ananuka au sijaelewa hapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shilole anatia kinyaa, anaongea sana tena hovyo hovyoThis is crazy, sijapenda kwa kweli, Shilole, Shilole, Shilole, jitafakari.😡
Umepiga sana, Shilole anawakwaza hadi majaji wenzieBSS basically wana nia njema na vipaji lakini wameanza ku focus kutengeneza contents za vituko na ma judge kudhalilisha washiriki bila sababu za msingi. Ni vizuri concentration iwe kwenye vipaji.
Ila pia ni kweli BSS kumtumia Shilole kama sehemu ya ma judge ni kurudi nyuma. Shilole ni moja ya wasanii waliokuwa maarufu bila kuwa na talent. Tulitegemea wawe serious zaidi na qualities za watu wataokuwa ma judge kulinda brand ya BSS ilipofikia.
Kama Rita maono yake ya BSS yamegota basi haitofika kokote na kuanza uswahili uswahili inapunguza heshima ya tukio lenyewe. Imagine Boniluv au mzee Kitime akae kwenye tv kumsikiliza Shilole aki analyse msanii!
Kwanza mtu kama shilole hajui mziki na hastahili kua judge.This is proof that money can't buy you class.
David Williams, aliekuwa judge wa Britain's Got Talent alifukuzwa u judge kwa kumdhalilisha mshiriki bila hata mshiriki husika kusikia ila sauti yake tu ilivuja akiwa anaongea pembeni kuhusu huyo muhusika.
Lakini kwa Tanzania ambao wameiga tu toka nje hiki kipindi hawaoni athari yeyote kwa ma judge kudhihaki mavazi ya washiriki, muonekano na hata mapungufu yao kimaumbile.
Ritha kama una fikra kidogo tu, msimamishe Shilole haraka iwezekanavyo kwa udhalilshaji wake.
Daaah kapambana sana aiseeShilole umezidi kujitetea humu Ndani
Itoshe kusema huna akili.
Kama vipi BSS ifutwe tu! Tusker Project Fame ilikuwa more professional.Hiki kipindi kadri siku zinavyozidi kwenda kinazidi kuwa cha kidhalilishaji.
Ma judge wamekuwa na tabia za kuattack utu wa watu kuliko hata kuangalia vipaji wanavyopaswa kuangalia.
Shilole alikuwa mchafu mpaka miaka ya hivi karibuni tu baada ya kushika vijipesa sasa ghafla kawa msafi mno kiasi cha kumdhalilisha mwanamke mwenzie kuwa ananuka kwapa kwenye national tv?
Dada wa watu mpaka kakosa pozi na kumuomba Shilole aache kumdhalilisha lakini bado linaendelea kubwatuka tu. Shilole ana kipaji gani kwanza mpaka afanywe kuwa judge?
Kwanini wasikae chini wakaangalia kina Simon Cowell kama huwa wanadhalilisha washiriki kwa umaskini wao?
Salama na Master J wanaamini kudhalilisha washiriki ndio kuwa judge bora.
Acheni huu udhalilishaji
Hana elimu huyu ni mshenzy sana mtu aliyestaarabika Huwezi kumfanyia hivi binadamu mwenzio...never ever ,kwenye halaikiHuwezi!!Hiki kipindi kadri siku zinavyozidi kwenda kinazidi kuwa cha kidhalilishaji.
Ma judge wamekuwa na tabia za kuattack utu wa watu kuliko hata kuangalia vipaji wanavyopaswa kuangalia.
Shilole alikuwa mchafu mpaka miaka ya hivi karibuni tu baada ya kushika vijipesa sasa ghafla kawa msafi mno kiasi cha kumdhalilisha mwanamke mwenzie kuwa ananuka kwapa kwenye national tv?
Dada wa watu mpaka kakosa pozi na kumuomba Shilole aache kumdhalilisha lakini bado linaendelea kubwatuka tu. Shilole ana kipaji gani kwanza mpaka afanywe kuwa judge?
Kwanini wasikae chini wakaangalia kina Simon Cowell kama huwa wanadhalilisha washiriki kwa umaskini wao?
Salama na Master J wanaamini kudhalilisha washiriki ndio kuwa judge bora.
Acheni huu udhalilishaji
wanamjaji muimbaji jinsi alivyo, muonekano, mavazi, bila kujua ametoka wapi na kwamba amekuja pale kama last resort tu ya utafutaji maisha ama la mtu kama una mpunga wako kwenda pale ni kujidhalilisha tu, watoto wanaenda pale katika uhangaikaji wengine hata nauli za kuja hapo wamekopa wengine hata nguo za kuvaa kuja hapo toka mikoani wameazima, ila wanaweza kuwa na sauti nzuri na wakiboreshwa wanaweza kuwa bora kuliko hata wa mjini.Kuna point za msingi umezungumza
Hawa sio Judges, hawana sifa hizo
Waliacha kusikiliza tones za muziki, kupanda na kushuka kwa sauti pamoja na pumzi ya Muimbaji, sasa Wamehamia kwenye kumjudge Muimbaji kwa jinsi alivyo
Huu ni Ujinga wala sio Ujaji
Kuna Bwana mmoja anaitwa Innocent Nganyangwa...yule ana sifa za kuwa Judge haswa
Lakini kila mtu ana starehe zake, huwezi mpangia mtu maishaHawa wanaoangalia haya makitu ndiyo wapuuzi zaidi. Unakuta dume zima limekaa kwenye TV linakenua meno kuangalia.
Roho mbaya na chuki zimewajaa.Hawana sifa za kuwa Majaji, na wanaendeshwa na mihemko binafsi na roho mbaya.
Ujinga mtupu, kwani wanaangalia vipaji au urembo binafsi? ni jukumu la BSS kumfanya mwenye kipaji akikuze na sio kumkatisha tamaa.Hiki kipindi kadri siku zinavyozidi kwenda kinazidi kuwa cha kidhalilishaji.
Ma judge wamekuwa na tabia za kuattack utu wa watu kuliko hata kuangalia vipaji wanavyopaswa kuangalia.
Shilole alikuwa mchafu mpaka miaka ya hivi karibuni tu baada ya kushika vijipesa sasa ghafla kawa msafi mno kiasi cha kumdhalilisha mwanamke mwenzie kuwa ananuka kwapa kwenye national tv?
Dada wa watu mpaka kakosa pozi na kumuomba Shilole aache kumdhalilisha lakini bado linaendelea kubwatuka tu. Shilole ana kipaji gani kwanza mpaka afanywe kuwa judge?
Kwanini wasikae chini wakaangalia kina Simon Cowell kama huwa wanadhalilisha washiriki kwa umaskini wao?
Salama na Master J wanaamini kudhalilisha washiriki ndio kuwa judge bora.
Acheni huu udhalilishaji
[emoji1]Shilole mwenyewe ananuka mku*du na Hilo wajuzi wanalijua kbsa bila ubishi ...sema Kuna picha yake nimeifuta bahati mbaya ukiiona tu unajua kbsa ni mku*du kunuka
DuhShilole anajasho baya sana nilishangaa kuona anamwambia vile yule jamaa wakati yeye mwenyewe ana tatizo hilohilo.
Nchi ya ajabu sanaNi Tanzania pekee ukiwa maarufu tu unapewa connection...
Hata kama umaarufu wa kujidhalilisha [emoji1787]
Ndo maana watu wanajidhalilisha mitandaoni ili wawe maarufu..