Bongo Star Search hiki mnachofanya ni udhalilishaji

Bongo Star Search hiki mnachofanya ni udhalilishaji

Ulitaka aletwe nani ?)
Rita kitendo tu cha kumleta salama mkoboaji wanawake wenzie, huwa anachafua cv yake sana. shishi mwenyewe ana tuhuma hizo za kukoboana.

Wanaume pia wanaoenda hapo hao kina master j wanalambalamba midomo tu. hicho kikampuni na vimashindano vimejaa ujinga mtupu na ukimsikiliza vizuri pachal kasian unaweza kuwajua connections zao.
 
Rita kitendo tu cha kumleta salama mkoboaji wanawake wenzie, huwa anachafua cv yake sana. shishi mwenyewe ana tuhuma hizo za kukoboana. wanaume pia wanaoenda hapo hao kina master j wanalambalamba midomo tu. hicho kikampuni na vimashindano vimejaa ujinga mtupu na ukimsikiliza vizuri pachal kasian unaweza kuwajua connections zao.
Seleeee Selemani
Sele sele
Wee Selemani we Sele sele
Wee Selemani we Sele sele
Mirungi mishisha mibange Selemani...
We Selemani we Sele Sele
 
Ukibishana na mjîñgæ
Na wewe utakua mjîñgæ

Ndo kinachotokea kwenye huu uzi...
Mlianza vizuri tu.. ila mlipoanza kujibu tu mkaaribu kila kitu.😂😂😂😂😂
Shilole kazinguwa sana
Newton's 3rd Law of Motion, sina cha kuongezea
 
Hiki kipindi kadri siku zinavyozidi kwenda kinazidi kuwa cha kidhalilishaji.

Ma judge wamekuwa na tabia za kuattack utu wa watu kuliko hata kuangalia vipaji wanavyopaswa kuangalia...
Udhalilishaji ndio sababu iliyopelekea onyesho la BIBI BOMBA kufutwa. Na hawa wadhalilishaji naona kabisa kipindi chao hiki cha mchongo kinakaribia tamati.
 
Hiki kipindi kadri siku zinavyozidi kwenda kinazidi kuwa cha kidhalilishaji.

Ma judge wamekuwa na tabia za kuattack utu wa watu kuliko hata kuangalia vipaji wanavyopaswa kuangalia...
Sasa kikwapa na nota za muziki vinahusianaje? Kipindi hiki kimevamiwa na mijitu iliyokosa muelekeo ndio maana kila siku inadhalilisha watu bila sababu za msingi
 
Wakiendelea hivi itabidi hiki kipindi kifutwe kabisa.

Madame Rita amejisahau mno kukemea mambo ya kijinga kama hayo na mengine mengi tu tunayoyaona kila mwaka.

Vinginevyo afanye vetting ya majaji wengine wenye nidhamu na ustahimilivu
 
Back
Top Bottom