Bongo Star Search hiki mnachofanya ni udhalilishaji

BSS basically wana nia njema na vipaji lakini wameanza ku focus kutengeneza contents za vituko na ma judge kudhalilisha washiriki bila sababu za msingi. Ni vizuri concentration iwe kwenye vipaji.

Ila pia ni kweli BSS kumtumia Shilole kama sehemu ya ma judge ni kurudi nyuma. Shilole ni moja ya wasanii waliokuwa maarufu bila kuwa na talent. Tulitegemea wawe serious zaidi na qualities za watu wataokuwa ma judge kulinda brand ya BSS ilipofikia.

Kama Rita maono yake ya BSS yamegota basi haitofika kokote na kuanza uswahili uswahili inapunguza heshima ya tukio lenyewe. Imagine Boniluv au mzee Kitime akae kwenye tv kumsikiliza Shilole aki analyse msanii!
 
Umepiga sana, Shilole anawakwaza hadi majaji wenzie
 
Kwanza mtu kama shilole hajui mziki na hastahili kua judge.
 
Ni Tanzania pekee ukiwa maarufu tu unapewa connection...

Hata kama umaarufu wa kujidhalilisha [emoji1787]

Ndo maana watu wanajidhalilisha mitandaoni ili wawe maarufu..
 
Kama vipi BSS ifutwe tu! Tusker Project Fame ilikuwa more professional.
 
Hana elimu huyu ni mshenzy sana mtu aliyestaarabika Huwezi kumfanyia hivi binadamu mwenzio...never ever ,kwenye halaikiHuwezi!!
 
wanamjaji muimbaji jinsi alivyo, muonekano, mavazi, bila kujua ametoka wapi na kwamba amekuja pale kama last resort tu ya utafutaji maisha ama la mtu kama una mpunga wako kwenda pale ni kujidhalilisha tu, watoto wanaenda pale katika uhangaikaji wengine hata nauli za kuja hapo wamekopa wengine hata nguo za kuvaa kuja hapo toka mikoani wameazima, ila wanaweza kuwa na sauti nzuri na wakiboreshwa wanaweza kuwa bora kuliko hata wa mjini.
 
Ujinga mtupu,
Ujinga mtupu, kwani wanaangalia vipaji au urembo binafsi? ni jukumu la BSS kumfanya mwenye kipaji akikuze na sio kumkatisha tamaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…