Bongo Star Search hiki mnachofanya ni udhalilishaji

Wafrika linapokuja swala la ethical issues tupo nyumaa sana yaan sana, na kibaya weng hawajui haki zao. Huyo alikua anaenda kufungua kesi kushtak huo mchakato wote.
 
Hao majaji wenyewe wote wanamapungufu Yao tukianza kumpekua salama Jabir hapa mtakimbia,kuanzia tabia zake Hadi matendo,hao ndio marole model wakizazi Cha kitanzania.😎😎
 
Duh! Huyu Shilole kumbe hamnazo tu kichwani hazimo kbsa🤔
Mpumbavu sana
Kila Siku wanasema kuhusu, watu wenye elimu ndogo kuwepo kwy vyombo vya habari au mahamuzi hawatakiwi, watu wanawatetea sijui vipaji madhara take ndio haya. Wanatakiwa wasiwe mubashala kwa mtu mwenye elimu ndogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…