Bongo swala sio kutapeliwa ila unaweza kutapeliwa mara mbili ndani ya siku moja

Bongo swala sio kutapeliwa ila unaweza kutapeliwa mara mbili ndani ya siku moja

Utapeli hauna macho,

Unaambiwa hata mzee NYERERE aliwahi kutapeliwa matofali.

Ila kuna mijitu ina roho ngumu, imagine unamtapeli NYERERE ? Raisi wa nchi, tena alivyokua anaogopeka.
 
Ila bongo, ndo maana natafuta hela kwa bidii nisepe🙌

Ahsanteni
 
Back
Top Bottom