Bongo ukiwa mkimya utasemwa na ukiwa muongeaji utasemwa pia

Idadi ya watu wajinga inazidi kuongezeka cha ajabu tunaishi katika nyakati ambazo taarifa zipo kila sehemu na watu walitakiwa kuwa very smart na taarifa za mambo mengi.

Mimi hadi nimeamua kuwa na utaratibu wa tofauti sana kukaa na watu. Naonana na watu mara chache sana na mazungumzo yangu huwa yanategemea wao wanaongelea nini na sitoi my personal opinion.

Kwasababu nimeona ukiwa straight watu wanakutazama tofauti. Unaweza mwambia mtu suluhu ya tatizo analo hangaika nalo ila akakutazama kama unamuingilia maisha yake personal au akaona una mu'overload na taarifa yaani akawa kama anaboreka na mazungumzo.

Nitakupa mfano.

Unakaa na mtu analalamika bundle kwenye simu zinaisha haraka,unamwambia hapo jiunge na kifurushi cha mwezi,anakwambia ni gharama na hawezi kumudu,unaanza kumpigia hesabu ya pesa za vocha anazonunua plus pesa nyingine anayoweka sehemu zisizo na ulazima unamwambia mbona hii unapata kabisa pesa ya kulipia kitu fulani,anabakia kukutumbulia macho au unaona anapepesa macho kama mtu anae kwepa usiendelee kumwambia hizo story.

Then unaamua kukaa kimya. Anakuona wewe unatumia anaanza kukuuliza tena mbona wewe muda wote upo online unatumia mtandao gani?😂

Mtu anakwambia ana vidonda vya tumbo, unamshauri namna ya upangiliaji wa vyakula ili aweze kupunguza tindikali na kuneutralize kabisa tatizo awe normal. Utashangaa katikati ya mazungumzo anapiga mihayo kuashiria unam'boa na maelezo marefu au anaanza kutafuta kitu cha kum'distruct kama kupokea simu,kutazama sms kwenye simu au kumuuliza mtu kitu wakati unaongea nae ili tu aku interrupt.

Ila mtu huyu huyu anahangaika kunywa madawa ya hospital na ya kienyeji na haponi anateseka hana furaha, cha ajabu waliokusikiliza wanapata nafuu kabisa na kuwa sawa.

So nimejifunza kuwa watu walivyo ni matokeo ya upeo wa akili zao na malezi,maana yake wamechagua kuwa walivyo,kuwabadilisha sio kazi yangu.

Mtu anakuta umenunua vitu vya kisasa kwako nyumba umepangilia vema anaanza maswali ya kudadisi umefanyaje kupata hivyo vitu mimi huwa sijibu nakaa kimya au nitapotezea hiyo topic ife bila kujibu maana sitaki kusumbua akili yangu katika ku'engage na watu wasio na genuine interest na uhalisia wa maisha.

Mtu anakuja na tatizo namtazama kwanza amekujaje huwa sitoi ushauri kizembe maana mwingine anakuuliza tu jambo ila hana mpango wa kufuata ushauri anaoomba.

Binadamu wa sasa communication skills wapo vibaya sana kushinda hata wanyama. Nilikuwa najiuliza kwann wazungu wanapenda sana mbwa sasa ndio nimeanza kuelewa kuwa ukikaa na bindamu especially hawa wa kisasa unaweza patwa na upweke mkali sana ingawa umezungukwa na binadamu wenzako ila mbwa akakuonyesha ukaribu na attention bila hata kuzungumza chochote na wewe.
 
Ni kw sababu ya uduni wetu, mtu masikini anakuwa na hurka ya kutaka kuwa appreciated even tho hana kitu, sasa akikuona mwamba kauzu, anahisi unamchukulia poa ila kumbe hata time hauna
Hapo nimekuelewa, mie huwa nakuta a na maneno ya jamaa anajiona,jamaa Jeuri, jamaa hasalimii watu
 
Idadi ya watu wajinga inazidi kuongezeka cha ajabu tunaishi katika nyakati ambazo taarifa zipo kila sehemu na watu walitakiwa kuwa very smart na taarifa za mambo mengi.

Mimi hadi nimeamua kuwa na utaratibu wa tofauti sana kukaa na watu. Naonana na watu mara chache sana na mazungumzo yangu huwa yanategemea wao wanaongelea nini na sitoi my personal opinion.

Kwasababu nimeona ukiwa straight watu wanakutazama tofauti. Unaweza mwambia mtu suluhu ya tatizo analohangaika nalo ila akakutazama kama unamuingilia maisha yake personal au akaona una mu'overload na taarifa yaani akawa kama anaboreka na mazungumzo.

Nitakupa mfano.

Unakaa na mtu analalamika bundle kwenye simu inaisha haraka,unamwambia hapo junge na kifurushi cha mwezi,anakwambia ni gharama na haweza kumudu,unaanza kumpigia hesabu ya pesa za vocha anazonunua plus pesa nyingine anayoweka sehemu zisizo na ulazima unamwambia mbona hii unapata kabisa pesa ya kulipia kitu fulani,anabakia kukutumbulia macho au unaona anapepesa macho kama mtu anae kwepa usiendelee kumwambia hizo story.

Then unaamua kukaa kimya. Anakuona wewe unatumia anaanza kukuuliza tena mbona wewe muda wote upo online unatumia mtandao gani?😂

Mtu anakwambia ana vidonda vya tumbo, unamshauri namna ya upangiliaji wa vyakula ili aweze kupunguza tindikali na kuneutralize kabisa tatizo awe normal. Utashangaa katikati ya mazungumzo anapiga mihayo kuashiria unamboa na maelezo marefu au anaanza kutafuta kitu cha kumdestruct kama kupokea simu,kutazama sms kwenye simu au kumuuliza mtu kitu wakati unaongea nae.

Ila mtu huyu huyu anahangaika kunywa madawa ya hospital na ya kienyeji na haponi anateseka hana furaha, cha ajabu waliokusikiliza wanapata nafuu kabisa na kuwa sawa.

So nimejifunza kuwa watu walivyo ni matokeo ya upeo wa akili zao na malezi.

Mtu anakuta umenunua vitu vya kisasa kwako nyumba umepangilia vema anaanza maswali mimi huwa sijibu nakaa kimya au nitapotezea hiyo topic ife bila kujibu.

Mtu anakuja na tatizo namtazama kwanza amekujaje huwa sitoi ushauri kizembe maana mwingine anakuuliza tu jambo ila hana mpango wa kufuata ushauri anaoomba.

Binadamu wa sasa communication skills wapo vibaya sana kushinda hata wanyama. Nilikuwa najiuliza kwann wazungu wanapenda sana mbwa sasa ndio nimeanza kuelewa kuwa ukikaa na bindamu especially hawa wa kisasa unaweza patwa na upweke mkali sana ingawa umezungukwa na binadamu wenzako ila mbwa akakuonyesha ukaribu na attention bila hata kuzungumza chochote na wewe.
Tresor Mandala soma hii mwamba kamaliza kila kitu hapa😁
 
Mkuu ndio maana mie huwa sishauri mtu ataiweje ,umesema yote kweli Mkuu
 
Back
Top Bottom