Bongo usanii mwingi

Oi bablai, haikatai mwamba😅
Huyo dada atakukumbuka daima na milele😂
 
Pole Hii ndo Daslam sasa, kuna mmoja nimemit nae jana tukaingia juice point iliokuepo jirani mi nikaagiza juice glass mbili yangu na yake muda huo tumekaa juice zikaja nikasikia anaongea kichinichini "bora tu ungeniagizia chakula"

Kwa kuwa kulikua na restaurant nje nikaona isiwe hiyana nikamwambia aagize na ashukuriwe Mungu Jana simba walikua hawachezi.

Hopefully utakua umejifunza jinsi ya kudeal na hao wasaidizi wetu
 
Reactions: 511


Kwa hiyo umezulumiwa nini sasa ambacho ulikuwa unanunua?
 
Reactions: 511
Du kumbe ndio wako hivyo. Ila sio kesi, nimejifunza😎
 
🤣🤣🤣🤣🤣”Siku ya usinduzi” watu wana mahesabu yao makali sana
 
Reactions: 511
Maana mi sioni ambacho umenunua, umemkarimu, ungetaka kununua mngekubaliana ukampa pesa.

Wewe umezurura kula mitura kutwa nzima, unasema umezulumiwa, aio sawa kabisa.
Kwani danganya akijua kabisa yuko p
Kumbuka hakuna mwanamke anauza, na hakuna mwanamke wanatoa bure😎
 
huyo hatanisahau , nlimsukumia ukutani akawa napiga , akirudi nyuma ile kutaka kutoka anapatana na chuma , mwendo mpaka akalia kama mtoto
Ndio dawa yao hao😅😅 akitoka hapo heshima kibao
 
Kwani danganya akijua kabisa yuko p
Kumbuka hakuna mwanamke anauza, na hakuna mwanamke wanatoa bure😎

Hujui umeepushiwa nini, kama umeweza kugharamia furaha inatosha, hata ungelala naye kwa sasa ingekuwa imepita unataka tena, hakuna jipya kwenye haya mambo, wanawake ni wale wale
 
Hujui umeepushiwa nini, kama umeweza kugharamia furaha inatosha, hata ungelala naye kwa sasa ingekuwa imepita unataka tena, hakuna jipya kwenye haya mambo, wanawake ni wale wale
Kabisa mkuu ndio maana sikutaka ligi, nikamruhusu ki roho safi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…