- Thread starter
- #141
Oi bablai, haikatai mwamba😅nimecheka sana , umenikumbusha back kuna pisi ilinila hivo mwisho akadai yuko mwezini, mind you tulikuwa ofisi moja , nkajifanya haina noma , ofisini akawa bado analeta mzaha najidai ile story haikuniumiza kumbe chini chini inauma balaa. ikapita wiki kama tatu nampotezea , day moja akaja kwangu on a sunday bila tangazo , ile baada ya mahanjam akanipa mechi , bro nlichomfanya mpaka leo tukipatana hata kortini hataki story zangu , siku yaja akikupa piga kuni kupiga ...sasa ije akupe na ww ni mla wali , upige moja chali utakuwa umeangusha chama balaa
Huyo dada atakukumbuka daima na milele😂