Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Si ndio hata nami nashangaa jamani🤷🤷🤷😂😂😂 hapo Hamna dhuluma na mdada katumia muda wake , wameenjoy kampa company
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si ndio hata nami nashangaa jamani🤷🤷🤷😂😂😂 hapo Hamna dhuluma na mdada katumia muda wake , wameenjoy kampa company
Huyu atajuta mana Mboga za Mgulani imejaa tele ndaniMlishe midagaa mibichi 😂
Pole sana BroWe uliponiacha jana nikapigwa tukio si poa😂
Mlipanga au ulimsumprise mtoto wa watuJamani jamani hata wewe huoni hiyo dhuruma😂
Kuweni waakweli tuSi ndio hata nami nashangaa jamani🤷🤷🤷
Utaratibu wangu wa sasa namchana mapema kama ana madamu dam yake asilete pua yake eneo la tukio.Pole sana jombaa, waache utapeli kwa kweli. Kwani akisema ukweli kuwa anakuja ila yuko p kuna shida gani[emoji28] wanapenda kuleta usumbufu tu bila sababu
Kapanga yeye tarehe wiki nzima imagine, hata siku hiyo mpaka tunatoka anasema yuko Poa kabisa 😓Pole sana Bro
Uliikutana naye wapi huyo manzi
Je mliongea juu ya hilo ??
Wee mimi sio mvulana, nilitoa taarifa wiki nzima na akapendekeza siku yeye.Mlipanga au ulimsumprise mtoto wa watu
Pole bro , kumbe kazingua yeye duhKapanga yeye tarehe wiki nzima imagine, hata siku hiyo mpaka tunatoka anasema yuko Poa kabisa 😓
Kama mbwai mbwai tu😅. Ila akiwa mkweli hata akija sio mbaya maana unakuwa na taarifaUtaratibu wangu wa sasa namchana mapema kama ana madamu dam yake asilete pua yake eneo la tukio.
Itaisha bhanaWee mimi sio mvulana, nilitoa taarifa wiki nzima na akapendekeza siku yeye.
Duh usiseme njaa bhana , sometimes ukiwa P ni raha, kutoka na mtu .Pakubwa sana. Angesema tu mapema, nisingeahirisha maana Najua ni mkweli, Ila kumbe alikuwa na njaa tu😅
Nakubali kabisa. Ila aseme tu mapema, sio muda wote Najua leo nateleza kumbe😢Duh usiseme njaa bhana , sometimes ukiwa P ni raha, kutoka na mtu .
Hehe si ulirudi church weweUnavyonifariji sasa, bora usingeondoka tu jana😂
UsikuHehe si ulirudi church wewe
Sure mkuu! Saa nyingine huwa tunapita kwenye majanga mpaka unasema nimepita pale salama sitarudia tenaaa! Unajikuta unaweka agano na Mwenyezi Mungu kuwa Nabaki njia kuu🤣 njia nyingine zipo rough roads..acha kabisa. Unaona humu duniani ukiwa na afya njema huo ndo utajiri mkubwa sana Mwenyez Mungu katupa.Kabisa mkuu ndio maana nikamrudisha kwake salama kabisa bila neno
Aliekudanganya kwamba demu aliye period hagegedwi ni nani?Masaa yote hayo hukumbuki kuniambia upo period hadi mda wa kwenda kulala ndio beiby nipo kwenye siku zangu!! jamani jamani…
Umetisha sana mkuu👍👍Sure mkuu! Saa nyingine huwa tunapita kwenye majanga mpaka unasema nimepita pale salama sitarudia tenaaa! Unajikuta unaweka agano na Mwenyezi Mungu kuwa Nabaki njia kuu🤣 njia nyingine zipo rough roads..acha kabisa. Unaona humu duniani ukiwa na afya njema huo ndo utajiri mkubwa sana Mwenyez Mungu katupa.
Saa nyingine Mwenyezi Mungu anasema huyu kijana akiingia matatizon sahizi mapema kabisa si ni balaaa hili.so anaepusha.
Let us play safe Afya njema ndo Utajiri mkubwa sana Tuliopewa.