Bongo usanii mwingi

Bongo usanii mwingi

Pole sana jombaa, waache utapeli kwa kweli. Kwani akisema ukweli kuwa anakuja ila yuko p kuna shida gani[emoji28] wanapenda kuleta usumbufu tu bila sababu
Utaratibu wangu wa sasa namchana mapema kama ana madamu dam yake asilete pua yake eneo la tukio.
 
  • Kicheko
Reactions: 511
Pole sana Bro
Uliikutana naye wapi huyo manzi
Je mliongea juu ya hilo ??
Kapanga yeye tarehe wiki nzima imagine, hata siku hiyo mpaka tunatoka anasema yuko Poa kabisa 😓
 
Utaratibu wangu wa sasa namchana mapema kama ana madamu dam yake asilete pua yake eneo la tukio.
Kama mbwai mbwai tu😅. Ila akiwa mkweli hata akija sio mbaya maana unakuwa na taarifa
 
Kabisa mkuu ndio maana nikamrudisha kwake salama kabisa bila neno
Sure mkuu! Saa nyingine huwa tunapita kwenye majanga mpaka unasema nimepita pale salama sitarudia tenaaa! Unajikuta unaweka agano na Mwenyezi Mungu kuwa Nabaki njia kuu🤣 njia nyingine zipo rough roads..acha kabisa. Unaona humu duniani ukiwa na afya njema huo ndo utajiri mkubwa sana Mwenyez Mungu katupa.
Saa nyingine Mwenyezi Mungu anasema huyu kijana akiingia matatizon sahizi mapema kabisa si ni balaaa hili.so anaepusha.
Let us play safe Afya njema ndo Utajiri mkubwa sana Tuliopewa.
 
  • Nzuri
Reactions: 511
nimecheka sana , umenikumbusha back kuna pisi ilinila hivo mwisho akadai yuko mwezini, mind you tulikuwa ofisi moja , nkajifanya haina noma , ofisini akawa bado analeta mzaha najidai ile story haikuniumiza kumbe chini chini inauma balaa. ikapita wiki kama tatu nampotezea , day moja akaja kwangu on a sunday bila tangazo , ile baada ya mahanjam akanipa mechi , bro nlichomfanya mpaka leo tukipatana hata kortini hataki story zangu , siku yaja akikupa piga kuni kupiga ...sasa ije akupe na ww ni mla wali , upige moja chali utakuwa umeangusha chama balaa
 
  • Kicheko
Reactions: 511
Sure mkuu! Saa nyingine huwa tunapita kwenye majanga mpaka unasema nimepita pale salama sitarudia tenaaa! Unajikuta unaweka agano na Mwenyezi Mungu kuwa Nabaki njia kuu🤣 njia nyingine zipo rough roads..acha kabisa. Unaona humu duniani ukiwa na afya njema huo ndo utajiri mkubwa sana Mwenyez Mungu katupa.
Saa nyingine Mwenyezi Mungu anasema huyu kijana akiingia matatizon sahizi mapema kabisa si ni balaaa hili.so anaepusha.
Let us play safe Afya njema ndo Utajiri mkubwa sana Tuliopewa.
Umetisha sana mkuu👍👍
 
Back
Top Bottom