Sinoni
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 6,581
- 11,572
Lakini si kulikuwa na njia mbadala ? Au nayo ilikuwa inavuja?Sizani mkuu, fikiria alikuwa tayari kuliwa geto, nikaamua akapate raha kwanza yeye akaleta njaa.
Alikuja niomba msamaha kesho yake kuwa alinitania akijua nitamlazimisha, ila akashangaa nikawa mwepesi wa kumuamini na kumuacha aondoke. (sitaki nataka)
Alibanwa ukutani mpaka leo hataki kuniona maana Hasira zote nilimalizia hiyo siku ya pili tu. Eti anasema lilipania kumuua😂