Nitaenda Misaa yaTatu
JF-Expert Member
- Apr 14, 2025
- 403
- 812
Hakuna mzungu fala
KabisaSafiiii sana. Haya mashetani yakataliwe na dunia nzima.
Ameona mbali.Bongozozo ajivua Ubalozi wa Utalii Tanzania kutokana mauaji
KabisaHakuna mzungu fala
Chakushngaza baada ya kurudisha wakakamatwa nchi inashid sana hiiKuna wale waliorudisha baiskeli..
Baiskeli za moto.
🔥🔥🔥Bongo zozo aumia sanaaa Watanzania kuuliwa na kupigwa risasi namna ile ,hivyo ameamua kuachana na kazi aliyopewa ya kuwa balozi wa utalii nchini Tanzania,amewajibika mwenyewe kwa nafasi yake.
Nasikia hata DP world nao wanataka kusitisha mkataba wa Tanzania na DP world kwenye mkataba wa bandari ya Dar es salaam. Kwa sababu ya kuzima mtandao,vurugu,kuua watu bila sababu, mojawapo ya masharti ya DP world ni Amani Kila wakati na muda wote. Hivyo walipata hasara za mabilioni kuzima mtandao huko bandarini
Ccm kama freemason hakuna kujitoaChakushngaza baada ya kurudisha wakakamatwa nchi inashid sana hii
Huyo ni mzungu anakula kwa kutumia kisu na uma si ajabu kesho mkamuona ikulu 😄 🤣Huyu si alikuwa na Kikwete majuzi hapa, kabla ya uchaguzi?