‘Bongo Zozo’ ajivua Ubalozi wa Utalii Tanzania kufuatia mauaji ya waandamanaji

‘Bongo Zozo’ ajivua Ubalozi wa Utalii Tanzania kufuatia mauaji ya waandamanaji

Asirudi huku tz maana watamkamata na kumpa kesi ya uhaini
Hawawezi, when british goverment start asking questions si sawa na chadema

Watalazimika kujibu one way or another on top of that kuna international incidents

Uhuni wao hawatoweza kuufanya
 
JWTZ ni taka taka kabisa, kwanza inatakiwa wabadilishe jina wasijiite tena "Jeshi la Wanainchi" bali wajiite jeshi la kulinda watawala.

Sasa hivi wana kazi ya kumlinda Mkunda na samuya.

Mkunda sasa hivi anatembea na msafara wa vifaru utafikiri tuko Darful... yaani analindwa kama yeye ndio raisi mpaka nashangaa.

Jwtz ni kundi la watu dhaifu sana na ndio maana raia wengi wanaamini polisi wana nguvu kuliko hao jamaa.
Jamaa ni dhaifu mno kuliko nilivyowategemea!!
 
Sitashangaa kusikia nayeye kapotezwa kama balozi mwenzake slowslow
Raia wa mabeberu huyo mkuu, sio kizembe namna hiyo.

Na sio kua nchi yake haijui yanayoendelea huku ni vile hawajali na huenda maslahi yao hayajaguswa moja kwa moja.
 
Kutokana na hali ya uvunjifu wa amani na kupotea kwa utu nchini Tanzania, nimeamua kujiuzulu rasmi katika nafasi yangu ya Balozi wa Utalii.

Nimesikitika sana kuwaangusha Watanzania kwa ujumla, pamoja na ndugu yangu aliyeniteua, Mheshimiwa Hamisi Kigwangalla, na marafiki wengi niliowapata kupitia jukumu hili.

Ninawashukuru kwa moyo wangu wote kwa imani, upendo, na fursa mlizonipa. Ila kwa maumivu makubwa ninayohisi moyoni, nimegundua siwezi kuendelea — siwezi, siwezi siwezi — hadi siku nitakapopoa.

Namwomba Mungu siku hiyo ifike mapema, ili aondoe maumivu haya moyoni mwangu na nirejee na amani ndani yangu na katika nchi ya Tanzania.

​
Mawe yataongea..
 
Sitashangaa kusikia nayeye kapotezwa kama balozi mwenzake slowslow
hawawez kumpoteza nchi yake itamdai na hapo ndo moto utawaka.
Hata tu serikali ya kenya tu wakiamua kudai ndugu zao waliokufa kweny maandamano kitanuka sema tu ndo hvo
 
Bongo zozo aumia sanaaa Watanzania kuuliwa na kupigwa risasi namna ile ,hivyo ameamua kuachana na kazi aliyopewa ya kuwa balozi wa utalii nchini Tanzania,amewajibika mwenyewe kwa nafasi yake.

Nasikia hata DP world nao wanataka kusitisha mkataba wa Tanzania na DP world kwenye mkataba wa bandari ya Dar es salaam. Kwa sababu ya kuzima mtandao,vurugu,kuua watu bila sababu, mojawapo ya masharti ya DP world ni Amani Kila wakati na muda wote. Hivyo walipata hasara za mabilioni kuzima mtandao huko bandarini
wow naombea iwe hvo DP World wajiondoe tu
 
AENDE ZAKE KUNA MTU ALIMUOMBA....BONGO ZOZO HANAGA AKILI.... NI MZUNGU TAPELI
 
Back
Top Bottom