‘Bongo Zozo’ ajivua Ubalozi wa Utalii Tanzania kufuatia mauaji ya waandamanaji

Kutokana na hali ya uvunjifu wa amani na kupotea kwa utu nchini Tanzania, nimeamua kujiuzulu rasmi katika nafasi yangu ya Balozi wa Utalii.

Nimesikitika sana kuwaangusha Watanzania kwa ujumla, pamoja na ndugu yangu aliyeniteua, Mheshimiwa Hamisi Kigwangalla, na marafiki wengi niliowapata kupitia jukumu hili.

Ninawashukuru kwa moyo wangu wote kwa imani, upendo, na fursa mlizonipa. Ila kwa maumivu makubwa ninayohisi moyoni, nimegundua siwezi kuendelea — siwezi, siwezi siwezi — hadi siku nitakapopoa.

Namwomba Mungu siku hiyo ifike mapema, ili aondoe maumivu haya moyoni mwangu na nirejee na amani ndani yangu na katika nchi ya Tanzania.

​
Umekaa vizuri una akili timamu.
Watu wote maarafu wakisema ukweli ukatili utaisha Tanzania
 
Tanganyika tunalindwa na Mungu,JWTZ ni nyoka Wa mapambo!
JWTZ ni taka taka kabisa, kwanza inatakiwa wabadilishe jina wasijiite tena "Jeshi la Wanainchi" bali wajiite jeshi la kulinda watawala.

Sasa hivi wana kazi ya kumlinda Mkunda na samuya.

Mkunda sasa hivi anatembea na msafara wa vifaru utafikiri tuko Darful... yaani analindwa kama yeye ndio raisi mpaka nashangaa.

Jwtz ni kundi la watu dhaifu sana na ndio maana raia wengi wanaamini polisi wana nguvu kuliko hao jamaa.
 
JW machoko tu, kama walizidiwa ubavu na KMKM pamoja na mercenaries kutoka Uganda tuna jeshi hapo au midebwedo tu. Imagine mkuu wa majeshi ni chawa na anamukgopa Abdul sasa kuna nini tena hapo, DG wa TISS yuko kwenye payroll ya Abdul na mtangulizi wake alitolewa na Abdul baada ya kutukanwa matusi ya nguoni japo kiumri Abdul anaweza kuwa mwanae wa kumzaa.
Tanganyika inatia aibu na huyu bibi wa Kizimkazi ameamua kuwakomesha Watanganyika mpaka wanye damu.
Samia katumia ukilaza,uwoga na tamaa ya mali walizonazo viongozi wa kitanganyika kulibagaza hili taifa kadri anavyotaka na mpaka kuua maelfu ya raia.

Kuna sababu kubwa ni kwanini karibu appointees wake wote kwenye positions muhimu ya sekta ya ulinzi ni vilaza kama yeye, hata kwa ukiwaskiliza tu jinsi wanavyoongea utaona kabisa ni vilaza na pia ni waoga.

Muangalie IGP wambura akiwa anaongea, muangalie Mkunda, kisha muangalie na yule mkurugenzi wa Takukuru, yaan ongea yao tu inawaonesha ni watu wenye uwezo mdogo sana wa kifikra na hawana ujasiri kabisa.

Yaani CDF mzima unaona wanainchi wako wasio na hatia wanafanyiwa mauaji ya kisasi na mamluki kutoka nje, haufanyi hata juhudi zozote angalau kupunguza casualities, upo tu na wewe bila aibu unaungana na mtawala kuwaita wahalifu... inaniuma sana kwakweli.
 
Mzaliwa wa dunia ya kwanza huyu ambapo utu au uhai wa binadamu unapewa thamani kubwa sana kuliko kitu chochote... Hawezi kuendelea kushirikiana na serikali hii inayonuka damu za raia wasiokuwa na hatia.
Unaongea kwa emotions unakumbuka kuwa UK imetawala nchi 171 na unajua imeua watu wangapi, yaani hao wazungu kwenye zama zao Giza Kama sisi na wao wameua mno watu, unajua walipoenda huko america waliua red indians wangapi baada ya kuwa wamegundua mashine ndio Waka abolish slave trades unaona Kama wao Wana utu sana wakati unafiki mtu. Sijasapoti mauaji yote na ya hapa pia Ila nilitaka kukuonyesha how flaw is your thinking is
 
Nilipost uzi kuwa, lazima utalii wa Tanzania uanguke na hata ikibidi Watanzania wenyewe washiriki hili moderator ukafuta uzi wangu.

Pesa zote zinazopatikana Nchini zinaenda mifukoni mwa watu wanaotuua, shillings mia unayopata wewe kwa sababu ya utalii, kuuza mazao nje visikupumbaze ukasahau tatizo la msingi.

Serikali hii dhalimu ikikosa hela ya kuonga itaanguka ghafla na Taifa lenye rushwa na ufisadi jambo hilo ni rahisi sana.

Utalii ni easy target kuliko madini kwa sababu sio lazima mtu aje Tanzania
kwahio mapato ya utalii ni mapato ya samia? 🤣🤣 hawakukosea kuwadhibiti, sasa muje tar 9
 
Kutokana na hali ya uvunjifu wa amani na kupotea kwa utu nchini Tanzania, nimeamua kujiuzulu rasmi katika nafasi yangu ya Balozi wa Utalii.

Nimesikitika sana kuwaangusha Watanzania kwa ujumla, pamoja na ndugu yangu aliyeniteua, Mheshimiwa Hamisi Kigwangalla, na marafiki wengi niliowapata kupitia jukumu hili.

Ninawashukuru kwa moyo wangu wote kwa imani, upendo, na fursa mlizonipa. Ila kwa maumivu makubwa ninayohisi moyoni, nimegundua siwezi kuendelea — siwezi, siwezi siwezi — hadi siku nitakapopoa.

Namwomba Mungu siku hiyo ifike mapema, ili aondoe maumivu haya moyoni mwangu na nirejee na amani ndani yangu na katika nchi ya Tanzania.

​
Asirudi huku tz maana watamkamata na kumpa kesi ya uhaini
 
Unaongea kwa emotions unakumbuka kuwa UK imetawala nchi 171 na unajua imeua watu wangapi, yaani hao wazungu kwenye zama zao Giza Kama sisi na wao wameua mno watu, unajua walipoenda huko america waliua red indians wangapi baada ya kuwa wamegundua mashine ndio Waka abolish slave trades unaona Kama wao Wana utu sana wakati unafiki mtu. Sijasapoti mauaji yote na ya hapa pia Ila nilitaka kukuonyesha how flaw is your thinking is
Nyoosha maelezo yako kwa umma.
Point zako ni nini hasa?
 
Unaongea kwa emotions unakumbuka kuwa UK imetawala nchi 171 na unajua imeua watu wangapi, yaani hao wazungu kwenye zama zao Giza Kama sisi na wao wameua mno watu, unajua walipoenda huko america waliua red indians wangapi baada ya kuwa wamegundua mashine ndio Waka abolish slave trades unaona Kama wao Wana utu sana wakati unafiki mtu. Sijasapoti mauaji yote na ya hapa pia Ila nilitaka kukuonyesha how flaw is your thinking is
Dunia inatoka kwenye unyani/ukima ina fight kwenda katika ustaarabu, nchi zote zilizostaarabika zinapambana historia isirudi tulikotoka ndio maana zinatungwa hadi sheria kali juu ya uvunjifu wa haki za binadamu.

Miaka 60 ya uhuru Serikali ya CCM imeturudisha ukimani, kipindi ambacho utu wa mtu haukuwa kitu.

Watu wote wenye akili na waliostaarabika wanaimba wimbo mmoja tu wa mauaji ya maelfu, CCM wameamua kujikita kwa makusudi katika narrative ya uhalifu na mali, 2025! Kwa akili za watu hawa wanadhani ni kitu cha kuwasaidia, kwa kutokutambua mauaji yaliyofanyika Ila tuwasikitishe tu… Ni kosa kubwa mnoooo wamefanya, Kwa kuwa wote ni makatili kwa sasa wanaweza wasielewe hili.

Kemea waliotoa oda ya shoot to kill, hao ndio wametumia emotions sehemu ambapo maarifa na akili yalitakiwa yatumike, Swali ni je zipo akili huko?
 
Kutokana na hali ya uvunjifu wa amani na kupotea kwa utu nchini Tanzania, nimeamua kujiuzulu rasmi katika nafasi yangu ya Balozi wa Utalii.

Nimesikitika sana kuwaangusha Watanzania kwa ujumla, pamoja na ndugu yangu aliyeniteua, Mheshimiwa Hamisi Kigwangalla, na marafiki wengi niliowapata kupitia jukumu hili.

Ninawashukuru kwa moyo wangu wote kwa imani, upendo, na fursa mlizonipa. Ila kwa maumivu makubwa ninayohisi moyoni, nimegundua siwezi kuendelea — siwezi, siwezi siwezi — hadi siku nitakapopoa.

Namwomba Mungu siku hiyo ifike mapema, ili aondoe maumivu haya moyoni mwangu na nirejee na amani ndani yangu na katika nchi ya

Bongo zozo aumia sanaaa Watanzania kuuliwa na kupigwa risasi namna ile ,hivyo ameamua kuachana na kazi aliyopewa ya kuwa balozi wa utalii nchini Tanzania,amewajibika mwenyewe kwa nafasi yake.

Nasikia hata DP world nao wanataka kusitisha mkataba wa Tanzania na DP world kwenye mkataba wa bandari ya Dar es salaam. Kwa sababu ya kuzima mtandao,vurugu,kuua watu bila sababu, mojawapo ya masharti ya DP world ni Amani Kila wakati na muda wote. Hivyo walipata hasara za mabilioni kuzima mtandao huko bandarini
Hiyo bongo mafi aache kujifanyisha.
Hawa ndio walio sapa watawala viburi
A naogopa kupoteza uraia wa kwa Malika kwani naye ni mhamiaji toka kwa wazulu.

Watesi wote tunawajua so atulie
 
Wewe ulikuwa punje moja katika mchanga.

Tanzania haitasimama kisa wewe.

Kwanza wewe ndio unaihitaji Tanzania kuliko inavyokuhitaji wewe
 
Kutokana na hali ya uvunjifu wa amani na kupotea kwa utu nchini Tanzania, nimeamua kujiuzulu rasmi katika nafasi yangu ya Balozi wa Utalii.

Nimesikitika sana kuwaangusha Watanzania kwa ujumla, pamoja na ndugu yangu aliyeniteua, Mheshimiwa Hamisi Kigwangalla, na marafiki wengi niliowapata kupitia jukumu hili.

Ninawashukuru kwa moyo wangu wote kwa imani, upendo, na fursa mlizonipa. Ila kwa maumivu makubwa ninayohisi moyoni, nimegundua siwezi kuendelea — siwezi, siwezi siwezi — hadi siku nitakapopoa.

Namwomba Mungu siku hiyo ifike mapema, ili aondoe maumivu haya moyoni mwangu na nirejee na amani ndani yangu na katika nchi ya Tanzania.

​
Baada ya kuvuna meno na mapembe mengi.
Naomba niishie hapo
 
JW machoko tu, kama walizidiwa ubavu na KMKM pamoja na mercenaries kutoka Uganda tuna jeshi hapo au midebwedo tu. Imagine mkuu wa majeshi ni chawa na anamukgopa Abdul sasa kuna nini tena hapo, DG wa TISS yuko kwenye payroll ya Abdul na mtangulizi wake alitolewa na Abdul baada ya kutukanwa matusi ya nguoni japo kiumri Abdul anaweza kuwa mwanae wa kumzaa.
Tanganyika inatia aibu na huyu bibi wa Kizimkazi ameamua kuwakomesha Watanganyika mpaka wanye damu.
Aibu tunaona Sisi,CDF anaita Press kusoma speech ya kipuuzi namna Ile!
 
Back
Top Bottom