‘Bongo Zozo’ ajivua Ubalozi wa Utalii Tanzania kufuatia mauaji ya waandamanaji

‘Bongo Zozo’ ajivua Ubalozi wa Utalii Tanzania kufuatia mauaji ya waandamanaji

Kutokana na hali ya uvunjifu wa amani na kupotea kwa utu nchini Tanzania, nimeamua kujiuzulu rasmi katika nafasi yangu ya Balozi wa Utalii.

Nimesikitika sana kuwaangusha Watanzania kwa ujumla, pamoja na ndugu yangu aliyeniteua, Mheshimiwa Hamisi Kigwangalla, na marafiki wengi niliowapata kupitia jukumu hili.

Ninawashukuru kwa moyo wangu wote kwa imani, upendo, na fursa mlizonipa. Ila kwa maumivu makubwa ninayohisi moyoni, nimegundua siwezi kuendelea — siwezi, siwezi siwezi — hadi siku nitakapopoa.

Namwomba Mungu siku hiyo ifike mapema, ili aondoe maumivu haya moyoni mwangu na nirejee na amani ndani yangu na katika nchi ya Tanzania.

​
Mungu aambariki
 
Ndiyo, Kikwete alikuwa Uingereza kabla ya uchaguzi, sasa sijui kama pia alikutana na yule chinja chinja wa Iraq, ambaye Samia ni mshauri wake.
Yote yanaenda yakifunguka, Kikwete tamaa zinampofusha anajiona mpiga dili lakini anajichafua hata kwa wale waliokuwa wakimshabikia. Samia the vampire yeye tatizo ni zero brain, hakuna anachojua ndiyo maana amejikita kwenye violence, ukatili, utekaji na uuaji akidhani ndiyo njia ya kuheshimika na kuogopeka.
Useless azz-holes.
 
Safi sanaa, hili jambo litaenda mbali sanaa kadri siku zinavyoenda na litaondoa confidence ya serikali iliyopo kwa asilimia kubwa sn.
 
Kutokana na hali ya uvunjifu wa amani na kupotea kwa utu nchini Tanzania, nimeamua kujiuzulu rasmi katika nafasi yangu ya Balozi wa Utalii.

Nimesikitika sana kuwaangusha Watanzania kwa ujumla, pamoja na ndugu yangu aliyeniteua, Mheshimiwa Hamisi Kigwangalla, na marafiki wengi niliowapata kupitia jukumu hili.

Ninawashukuru kwa moyo wangu wote kwa imani, upendo, na fursa mlizonipa. Ila kwa maumivu makubwa ninayohisi moyoni, nimegundua siwezi kuendelea — siwezi, siwezi siwezi — hadi siku nitakapopoa.

Namwomba Mungu siku hiyo ifike mapema, ili aondoe maumivu haya moyoni mwangu na nirejee na amani ndani yangu na katika nchi ya Tanzania.

​
Asante sana Bongozozo, umefanya yale uliyoyapaswa kufanya. Mungu akupe maisha marefu. umesaidia sana nchi yetu. lakini tunao viongozi wa ovyo sana. Lakini hili lina mwisho. ALUTA CONTINUA
 
Serikali hii dhalimu ikikosa hela ya kuonga itaanguka ghafla na Taifa lenye rushwa na ufisadi jambo hilo ni rahisi sana.
...
Watawabana nyinyi nyinyi kwa mitutu ya bunduki ili mlipe kodi na tozo za kingese na ukigoma unapigwa risasi ya kichwa, ulikua hujui??
 
Hao JW walikuwa wapi mpaka Hali inafikia hapa tulipo?
JW machoko tu, kama walizidiwa ubavu na KMKM pamoja na mercenaries kutoka Uganda tuna jeshi hapo au midebwedo tu. Imagine mkuu wa majeshi ni chawa na anamukgopa Abdul sasa kuna nini tena hapo, DG wa TISS yuko kwenye payroll ya Abdul na mtangulizi wake alitolewa na Abdul baada ya kutukanwa matusi ya nguoni japo kiumri Abdul anaweza kuwa mwanae wa kumzaa.
Tanganyika inatia aibu na huyu bibi wa Kizimkazi ameamua kuwakomesha Watanganyika mpaka wanye damu.
 
Back
Top Bottom