Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
Halafu sisi ngozi nyeusi tunawaza kugawana vyeo baada ya mauaji.
Hawawezi kuthubutu.Sitoshangaa kusikia nayeye kapotezwa kama balozi mwenzake slowslow
serikali basi tuma budi kuvunja udugu wenu maana ni laana kuwa karibu na watu wasio na utu kwa namna hiiKutokana na hali ya uvunjifu wa amani na kupotea kwa utu nchini Tanzania, nimeamua kujiuzulu rasmi katika nafasi yangu ya Balozi wa Utalii.
Nimesikitika sana kuwaangusha Watanzania kwa ujumla, pamoja na ndugu yangu aliyeniteua, Mheshimiwa Hamisi Kigwangalla, na marafiki wengi niliowapata kupitia jukumu hili.
Ninawashukuru kwa moyo wangu wote kwa imani, upendo, na fursa mlizonipa. Ila kwa maumivu makubwa ninayohisi moyoni, nimegundua siwezi kuendelea — siwezi, siwezi siwezi — hadi siku nitakapopoa.
Namwomba Mungu siku hiyo ifike mapema, ili aondoe maumivu haya moyoni mwangu na nirejee na amani ndani yangu na katika nchi ya Tanzania.
Watabaki wahuni wa kichina na kiarabu tu.Hata wawekazaji watapungua.
Hakuna mwekezaji mwenye akili timamu ataenda kuwekeza kwenye nchi inayozima internet siku 5 ili ipige risasi za kichwa na tumbo wananchi wake majumbani ili dunia isijue kinachoendelea basi wanaona wazime internet.
Hao wote hawataondoka maana wanakwepa kodi na kufanya kazi za tofauti kinyume na vibali vyao kwao faida wanapata kubwa maana ni shamba la bibi na kodi wanakwepa kwa kutoa hongo ambayo ni ndogo kuliko kodi na hakuna kinachowakimbiza .Watabaki wahuni wa kichina na kiarabu tu.
On point brother!Hao wote hawataondoka maana wanakwepa kodi na kufanya kazi za tofauti kinyume na vibali vyao kwao faida wanapata kubwa maana ni shamba la bibi na kodi wanakwepa kwa kutoa hongo ambayo ni ndogo kuliko kodi na hakuna kinachowakimbiza .
Swali zuri sana hilo.KIkwete naye amelaani mauaji?
Hivi huo ubalozi ni nani alimpa?Ndio ujue akili ya mzungu na mwafrika zilipotofautiana.
Sie waafrika tunasapotiana hadi kwenye ujinga ila sio kwa wazungu. Ndio bongozozo ni rafiki mkubwa sana wa kikwete na hata Mwinyi, lakini hio haimfanyi kuwa chawa kama miafrika mingine inavyofanya,
Kigwangala akiwa waziri WA utaliiHivi huo ubalozi ni nani alimpa?
Tanganyika tunalindwa na Mungu,JWTZ ni nyoka Wa mapambo!Unawamiminia Watanganyika Risasi bila huruma aisee hii kitu hapana ,
Kuna watu lazima wawajibike , mbaya zaidi Jeshi la wananchi likawaacha waangamie sasa kazi yake ni nini , nini maana ya kuitwa Jeshi la Wananchi wakati limeshindwa kuzuia yale mauaji ya Kimbari.
Huyo Mungu alikuwa wapi kulinda wananchi waliouwawa, kama kweli Tanganyika inalindwa na Mungu?Tanganyika tunalindwa na Mungu,JWTZ ni nyoka Wa mapambo!
Dah, kumbe!Kigwangala akiwa waziri WA utalii
KabisaHalafu sisi ngozi nyeusi tunawaza kugawana vyeo baada ya mauaji.