Boniface Jacob adaiwa kukamatwa na watu waliokuja na gari aina ya defender. Kamanda Kitwinkwi asema hana taarifa hizo

Ok sawa 🐒
 
Hawakupiga picha? why huo uzembe?
 
Ikitokea na huyu wakamuua kama walivyofanya Kwa mzee kibao wajue ndiyo itakuwa mwanzo wa maandamano yasiyo na kikomo Hadi chura ajiuzulu
 
okay sawa 🐒
 
Huu nao ni uzembe... Mtu kama Boni Yai toka jana alipasea awe INVISIBLE kabisa machoni pa jamii.
 
what might be the reason for his arrest (ingawa Maria amesema ni abduction). Najiuliza kwanini wasimuite? Yes it is abduction!
Mnyika aliitwa,kaenda?..hiyo siyo abduction,ni ukamataji wa kawaida wa polisi,maria virusi vitakua vimezidi,mwambie anywe dozi zake vinavyostahili
 
Nikiona mambo kama haya najitia moyo sana kwa maneno ya faraja kutoka kwa wafuasi wa CHADEMA kweye miezi ya mwanzo ya mwaka 2021 maneno hayo ni kama "mama anaupiga mwingi,mama anawanyoosha sukuma gang,mama hataki dhulma,mama ameamua kutupa jongoo na mti wake,mama anaelewana na Mbowe kuliko anvyoelewana na Majaliwa,mama hana baya"🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…