Boniface Jacob adaiwa kukamatwa na watu waliokuja na gari aina ya defender. Kamanda Kitwinkwi asema hana taarifa hizo

Abduction, pure abduction maana kama siyo abduction wangelimtumia wito kama Mnyika!
Nashituka kwanini alikuwa peke yake bila kundi la watu, hivi kweli hakuna waliopiga picha?
Mbowe na wengine wawe macho, tembea na kundi la watu wasiopungua 10 na camera on ready to take pictures na wakae strategically!...strategic position wasionekane wakati wanachukua picha Erythrocyte
 
Mnyika aliitwa,kaenda!?
 
Moja ya kosa kubwa ambayo mama anafanya ni kumkamata huyu jamaa,,,, hii itamuongezea chuki,,,,, the best way ni kutoa order to aachiliwe mara moja, neno la raisi ni sheria ! Chap akitamka anaachiwa, ni simu moja tu kwa Muliro J M
 
Inaelekea Chadema kinaongozwa na kiongozi wa dini. Hebu Chadema tulieni subirini taarifa kama Mh Rais alivyovitaka vyombo vya ulinzi vifanye uchunguzi haraka na vimpelekee taarifa. Kwa kweli mnaongea mengi mno hili la Samia Must Go siliungi mkono. Element kwamba kuongoza nchi busara inahitajika sana. Sote tunahamu ya kusikia watekaji ni akina nani sasa kabla hata kuanza au katikati ya mambo mnajaza mambo mengine. Leo mmetoa tamko kwamba ifikapo tarwhe 21 September 2024 mpate report na mkasema sasa hamna imani tena na uchunguzi wa vyombo vya ndani. Okay sawa sasa subirini mpate taarifa toka kwa huyo nnayetaka awaletee wachunguzi huru. Amani ni muhimu sana kwa sasa maana bila amani hata kutembeleana itakuwa ngumu.
 
TAARIFA YA DHARURA

Mh Boniface Jacob amekamatwa muda huu na polisi wenye difenda muda huu maeneo ya Sinza na haijajulikana amepelekwa wapi.

C&p
 
Unanijumlisha mimi kwenye CHADEMA kwani mimi CHADEMA?

Kiongozi wa kidini ku tweet kupinga utekaji ndiyo unasema CHADEMA kinaongozwa na kiongozi wa kidini?
 
BJ anahusika na mauaji wali tapeliana na mzee kibao.
Intelijensia ya Tanzania ipo juu sana.
 
Dar ngumu sana wakati anakukuruka ,watu wanatazama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…