Siasa ni vita vya maslahi.Hahaaa ila Maisha ya siasa magumu sana. Huu uninga woote unaofanyika muda huu kumbe sababu ni tumbo tu hakuna cha uwana harakati wala ufia chama
Haya ni mambo mazito sana.Wakuu,
Boni Yai ameendelea kumwaga siri za G55 kwenye press yake ya leo.
Akiwa anazungumza leo , Boni Yai amesema kuwa Mchome alikuwa anakaa kwenye hoteli moja huko Sinza na akashindwa kulipa kodi na yeye ndo alimsaidia laki 3 kwa ajili ya kulipa
Na aliongeza kuwa kwa sasa Mchome amelipiwa apartment huko Masaki na Msajili wa vyama vya siasa
Hivi huyu Boni Yai mbona anakuwaga na Info za ndani sana huyu mtu ni nani?Kada wa CHADEMA Boni Yai afichua siri nzito ya Mchome na Msajili wa vyama vya Siasa kutaka kukivuruga Chama.
View attachment 3338135
Elewa mambo haya makuuCCM ni maadui wakubwa wa ustawi wa mtanzania
Siasa ni nini? Amepangiwa hajapangiwa?Bon yai anatia chumvi tu naye apate attention
Itakua imeisha na kufilisika.Hawa G55 baada ya October watatafutana. Maana kazi yao itakuwa imeisha. Watakuwa kama used TP