PreGE2025 Boniface Jacob (Boni Yai): Lembrus Mchome amepangiwa apartment Masaki na Msajili wa Vyama vya Siasa

PreGE2025 Boniface Jacob (Boni Yai): Lembrus Mchome amepangiwa apartment Masaki na Msajili wa Vyama vya Siasa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kwa sasa uwepo wa Lisu jela ni Dili kubwa kila mpinzani feki huenda kuchukua pesa kwa ibirisi wa ccm akiwahidi kuudhofisha chadema ni miradi haramu ya kishetani, chauma ubwabwa ni chama cha hovyo sana
 
Utekaji mauaji pengine Dogo anayapangia huko gheto masaki akiwa na mzee wa Roho mbaya kigaila na mbowe
 
Hahaaa ila Maisha ya siasa magumu sana. Huu uninga woote unaofanyika muda huu kumbe sababu ni tumbo tu hakuna cha uwana harakati wala ufia chama
Mkuu kaa mbali na njaa. Sio ajabu tatizo ni fursa haijapatikana.
 
Back
Top Bottom