TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 31,930
- 19,156
KakaKaulize vizuri. Sisty Nyahoza yule mlevi tunajua tabia zake.
Hivi unadhani msajili can do that katika zama hizi?
KakaKaulize vizuri. Sisty Nyahoza yule mlevi tunajua tabia zake.
Wakuu,
Boni Yai ameendelea kumwaga siri za G55 kwenye press yake ya leo.
Akiwa anazungumza leo , Boni Yai amesema kuwa Mchome alikuwa anakaa kwenye hoteli moja huko Sinza na akashindwa kulipa kodi na yeye ndo alimsaidia laki 3 kwa ajili ya kulipa
Na aliongeza kuwa kwa sasa Mchome amelipiwa apartment huko Masaki na Msajili wa vyama vya siasa
Pia soma Pre GE2025 - CHADEMA yamvua Uongozi Lemburus Mchome
Wewe ropoka tu lakini ndiyo hivyo damu ya Thadei Ole Mushi ndiyo iliyokufikisha hapo kuwa shogaNakuambia tena
Toka ufirwe na wale wapemba coco umekua mwehu kila alie mbele yako unahisi analiwa kiboga kama wewe
Alafu michezo ya kuliwa huko chadema ipo wazi akina Mm, Mchomi na Chiba ni kama mmeshikilia Taji
Aya sasa mkimbilie ubeljiji mkatoe kinyeo mpate pesa za kula
Ndiyo tabia za Sisty sasa. Anatumia cheo chake cha unaibu msajili kufanya uhalifu na uchafu.Kaka
Hivi unadhani msajili can do that katika zama hizi?
Mmeumbuka yaani!Na wewe kapangiwe
Ohoooooo!!Ndiyo tabia za Sisty sasa. Anatumia cheo chake cha unaibu msajili kufanya uhalifu na uchafu.
Asante kwa KututonyaLembrus Mchome yuko humu anajiita saigilomagema
Ila humu !!🙌🙌😁😁😁🤣Dah Mchome atakuwa anafirwa aisee...
Wanasiasa wote wapo hivyo 🤣🤣Wanasiasa wote NJAA FC hata Boni ndiyo wale wale tu, kelele nyiiingi ila target ni tumbo lake tu
Pesa inayotumika kuihujumu kuidhoofisha chadema ni nyingi sana na inaibiwa kuliwa na ibirisi wa ccm, laiti hizo pesa zingekuwa zimeelekezwa kwenye maendeleo Tanzania ingekuwa mbali kama Singapore na ccm ingependwa ingechaguliwa bila kuiba kura, kuwateka kuwaua kuwatesa kuwanyanyasa kuwabambikia kesi za uongo chademaElewa mambo haya makuu
1. CCM ni mashetani
2. Umasikini wa Watanzania unasababishwa na CCM
Chauma ubwabwa wapo hovyo balaa wana chaumbea na kigagula mshirikina Kigaila wana Cha uzinzi uafiki Salum mwalimu wana cha wizi ulevi John mrema, hizo ni Sumu za ulingo wa Siasa zinazotembeaWanasiasa wote wapo hivyo 🤣🤣
Tunalishana upepo tu humu