PreGE2025 Boniface Jacob (Boni Yai): Lembrus Mchome amepangiwa apartment Masaki na Msajili wa Vyama vya Siasa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kwenye mabadiliko wasaliti ndio wanaotimiza zaidi kuliko watesi wetu

Anyway hakuna kurudi nyuma
 
Wakuu,

Boni Yai ameendelea kumwaga siri za G55 kwenye press yake ya leo.

Akiwa anazungumza leo , Boni Yai amesema kuwa Mchome alikuwa anakaa kwenye hoteli moja huko Sinza na akashindwa kulipa kodi na yeye ndo alimsaidia laki 3 kwa ajili ya kulipa

Na aliongeza kuwa kwa sasa Mchome amelipiwa apartment huko Masaki na Msajili wa vyama vya siasa

Pia soma Pre GE2025 - CHADEMA yamvua Uongozi Lemburus Mchome

Uzushi mtupu

Msajili wa vyama hana fungu hilo
 
Mfumo umeoza wote
Kuna mambo yanafanyika hadi unapatwa na mshangao.

Nasikia mawakili toka Kenya Law Society wamezuiwa kuja kusikiliza kesi ya Lissu.

Mambo ya fedheha na aibu kubwa.
 
Wakuu,

Boni Yai ameendelea kumwaga siri za G55 kwenye press yake ya leo.

Akiwa anazungumza leo , Boni Yai amesema kuwa Mchome alikuwa anakaa kwenye hoteli moja huko Sinza na akashindwa kulipa kodi na yeye ndo alimsaidia laki 3 kwa ajili ya kulipa

Na aliongeza kuwa kwa sasa Mchome amelipiwa apartment huko Masaki na Msajili wa vyama vya siasa

Pia soma Pre GE2025 - CHADEMA yamvua Uongozi Lemburus Mchome

Njaa mbaya sana mpk mwanaume anadhalilishwa kwa kupangiw room yy atatoa nn
 
Wakuu,

Boni Yai ameendelea kumwaga siri za G55 kwenye press yake ya leo.

Akiwa anazungumza leo , Boni Yai amesema kuwa Mchome alikuwa anakaa kwenye hoteli moja huko Sinza na akashindwa kulipa kodi na yeye ndo alimsaidia laki 3 kwa ajili ya kulipa

Na aliongeza kuwa kwa sasa Mchome amelipiwa apartment huko Masaki na Msajili wa vyama vya siasa

Pia soma Pre GE2025 - CHADEMA yamvua Uongozi Lemburus Mchome

Ndiyo pesa za walala hoi zinavyotumika🤦🏾‍♂️
 
Wakuu,

Boni Yai ameendelea kumwaga siri za G55 kwenye press yake ya leo.

Akiwa anazungumza leo , Boni Yai amesema kuwa Mchome alikuwa anakaa kwenye hoteli moja huko Sinza na akashindwa kulipa kodi na yeye ndo alimsaidia laki 3 kwa ajili ya kulipa

Na aliongeza kuwa kwa sasa Mchome amelipiwa apartment huko Masaki na Msajili wa vyama vya siasa

Pia soma Pre GE2025 - CHADEMA yamvua Uongozi Lemburus Mchome

i dont buy this

no evidences

chadema tunatafuta excuses za our own weaknesses tulizoshindwa resolve ndani

weak administration

hizo rushwa zilikua hazipo kabla ya tarehe 21st january 2025?

iweje wapokee hela leo zamani wasipokee?

hata kama wamepokea hela leo,why leo na sio zamani kama hakuna underlaying original problems came up after 21st january 2025

all these are stupid excuses

chadema will go out with these excuses.....
 
Hahaaa ila Maisha ya siasa magumu sana. Huu uninga woote unaofanyika muda huu kumbe sababu ni tumbo tu hakuna cha uwana harakati wala ufia chama
Miaka yote wana wanatengeza move ili wapiga pesa sasa mwaka huu wala huu wakachonga kakinyago ka “No reform,No election” ili wapi give pesa , bahati mbaya wajumbe wakapindua meza ya vinywaji halafu viongozi wakafanya kweli “NO REFORM,NO ELECTION”,is ulimsikia SUZAN Alisema wao walikuwa wanatishia tu
 
Maccm wote leo wamemchukia Boniyai kawatia dole la kati.
Walijiandaa kusikia anahama na sababu zilezile za kutukanwa na story za kihivyo. Wanaccm waliosambaza habari za Bon kuongea leo, hakuna anayejigusa na habari hizo. Yaani kawaharibia siku vibaya sana.
 
Kuna yule taahira chiembe post zake nyingi za jana kazifuta, wapumbavu sana hawa maccm
 
Back
Top Bottom