PreGE2025 Boniface Jacob (Boni Yai): Lembrus Mchome amepangiwa apartment Masaki na Msajili wa Vyama vya Siasa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Hiv baada ya uchaguzi hawa G55 wataenda wapi?
 
Huyu bonge ndiye aliyemsaliti Mbowe. Hana uhalali wa kusema lolote katika hili.
 
Hahaha vp mdogo wangu umeshachika kwa Mpemba?

Nasikia umekua punga la cha wote
Ila nimewakubali sana ndugu wa Thadei, maana wangesema wakumalize usingeteteseka ungekufa ukazikwa yakaisha kwani kila mtu atakufa lakini hiki kisomo walocchosoma cha kukugeuza bwabwa wamecheza sana, unabokolewa huku unajiona kujizuia huwezi hata mwarabu unaona hatoshi unajiangusha ukijifanya umelewa ili upigwe mtungo.
 
Dah Mchome atakuwa anafirwa aisee...
 
Sasa kuna walaaniwa wa damu za watu ,chiembe Tlaatlaah USSR jingalao mama D wao kazi yao iwaletee laana ya magonjwa sugu kwenye familia zao tu.Amina
 
Hiv baada ya uchaguzi hawa G55 wataenda wapi?
Hawa wanajua kabisa ahadi ya wao kupewa ubunge wa mezani haitekelezeki hakuna mwanaccm atakayekubali kuporwa jimbo ili wapewe hawa vibaka na ndiyo maana hata hizo m200 walizopewa kutumia kuwarubuni wanachama wa kawaida wahame nao wanazitumia kwa ubahili sana kwani ni dhahiri hakuna mgao mwingine baada ya uchaguzi.
 
Wanasiasa wote NJAA FC hata Boni ndiyo wale wale tu, kelele nyiiingi ila target ni tumbo lake tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…