Boniface Jacob: Bunge limedanganya kuhusu elimu ya Nape Nnauye

Vilaza kama hawa ndio wanaosaini mikataba mibovu na kuiingizia nchi hasara
 
Private candidate wanafundishwa pake kama tution wakijiandaa na mitihani
 
Wasomi wengi wa kanisa wapo hivyo, hapo wamekaa tuh kusubiri nafasi waibe,hawana tija na Taifa hili
 
Hii imenikumbusha wakati fulani, kuna yule bwana sijui anaitwa Msemakweli alitengeza kabisa kitabu cha watu mashuhuri aliowaita wana vyeti vyenye mashaka.
 
Kinachotambulika ni Kituo ulichofanyia mtihani

Uwage unaelewa na wewe!
Sikuona kwenye maelezo ya wasifu wa waziri huyo kuihusisha TTC kuwa kituo cha kufanyia mtihani.
Haya maswali nayaelewa vizuri sana mkuu 'johnthebabtist', maisha yangu kwa kirefu chake yametumika huko.
Tanzania tumeporomoka sana kama viwango tunavyojivunia sasa ni vya hawa akina Neppy. Hawa ndio wanaowaharibia na wengine wenye sifa sahihi kielimu.
 
Je,chadema ni kama nyumbu?

Butimba TCC (Tanzania Cigartte Company au TTC (Teachers' Training College)?
Yaani hujui maana ya PC?
Kenge wewe.
Hata hivyo tunahitaji watu wenye akili zaidi na siyo wenye mavyeti zaidi.
Bahati mbaya Nape Hana vyote, akili zero na cheti Hana.
 
Vilaza!
 
It seems like He's not Educated but he's ONLY Certificated.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…