Boniface Jacob: Bunge limedanganya kuhusu elimu ya Nape Nnauye

NAPE KALIDANGANYA BUNGE KUHUSU ELIMU YAKE.

Katika kufanya Utafiti wangu kuhusu mapitio (background) ya elimu ya Waziri wa Habari,Mawasiliano na Teknolojia ya habari Bw.Nape Moses Nnauye
Bwana Nape Moses Nnauye tunaomba UFAFANUZI kuhusu; uhalisia wa familia yako! baada ya wenye familia yao 'kukusahau' kwenye orodha ya watoto wa Brig. Gen Moses Nnauye (RIP) katika tangazo la familia la miaka 10 kumbukumbu ya mzee Nnauye. Walinukuu majina yao—Jina lako halipo Bumunda

IMG-20231213-WA0058.jpg
 
NAPE KALIDANGANYA BUNGE KUHUSU ELIMU YAKE.

Katika kufanya Utafiti wangu kuhusu mapitio (background) ya elimu ya Waziri wa Habari,Mawasiliano na Teknolojia ya habari Bw.Nape Moses Nnauye

Nimeshtuka kuona Bunge linatangaza Waziri Nape Moses Nnauye amepata Elimu ya ADVANCED CERTIFICATE OF SECONDARY SCHOOL katika shule ya BUTIMBA TTC mwaka 1998 hadi mwaka 2000.

Nimelazimika kuwatafuta Walimu wenzangu waliosoma na kufanya kazi BUTIMBA TCC (Butimba teacher's college).

Wameshangaa na kushtushwa na taarifa ya Bunge inayohusu elimu ya Waziri Nape Moses Nnauye.

Ukweli ni kwamba BUTIMBA TCC haijawahi kuwa na shule ya Sekondari mwaka 1998 wala katika tovuti ya Baraza la Mitihani Tanzania alijawahi kusajili Shule ya Sekondari na kuipa mitihani mwaka 1998 hadi 2000 kwa Jina la "BUTIMBA TCC SECONDARY SCHOOL"

BUTIMBA TCC (Butimba teacher's college) ilianzishwa mwaka 1939 na wakoloni na Kujengwa shule ya msingi ya mazoezi (Teaching Practice) na wakoloni wenyewe kwa ajili ya mafunzo kwa Vitendo kwa Wanafunzi wa Ualimu.

Hata hivyo 28 January 2000 serikali ilianzisha shule mpya ya sekondari (Kutwa) ya BUTIMBA SEKONDARI SCHOOL (BUTIMBA DAY) ambayo kidacho cha Kwanza waliingia mwaka 2000 na Kumaliza mwaka 2003 kidato cha nne.

Ambapo kwa mujibu wa tovuti ya Bunge Nape alikuwa ameshamaliza kidato cha 6 Mwaka 2000 latika Shule ya Sekondari ya BUTIMBA TCC.

Lakini kubwa zaidi inaonyesha Nape Moses Nnauye hakusoma BUTIMBA TCC elimu ya kidato cha kwanza hadi cha nne bali alisoma kidato cha tano na cha sita katika Shule ambayo haipo wala haijawahi kuwepo.

Pichani ni tovuti ya Bunge kuhusu elimu ya Nape Moses Nnauye,Picha ya Pili ni kuhusu usajili wa Sekondari wa Butimba Day mwaka 2000.

Naomba kuwasilisha.

NAMALIZIA UTAFITI kuhusu Shahada ya Sheria pale OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA anayosoma Nape Moses Nnauye.

Imewezekanaje mwanafunzi aliyekosa qualificayion za Direct Entry za
1."Principal mbili" za ADVANCED CERTIFICATE OF SECONDARY SCHOOL ..?

2. Credit mbili za O-level ( History na English language Kusoma Sheria kinyume na Kanuni za TCU..?

3. au Mwanafunzi aliyekosa Equivalent qualifications za Diploma yenye G.P.A yenye 3.0 and above anawezaje kujiunga na Shahada ya sheria..?

Au mtafuta kuwapa lawama LAW SCHOOL OF TANZANIA..,

( Kaka ana madiploma Mengiiiiiiiii lakini hayana uzito)

4. au Bachelor degree kutoka Chuo kinachotambulika na TCU...? Siyo kama BANGALORE UNIVERSITY YA INDIA 😂😂😂

La sivyo TCU mtuambie mtu akiwa CCM au Kiongozi wa Serikali Vigezo vya Kujiunga na elimu ya Juu kwake havizingatiwi sawa na Watanzania Wengine..?
View attachment 2841228View attachment 2841229
Inashangaza sana. Waziri kilaza kama huyu halafu anapewa kuendesha wizara nyeti kabisa nchini.

Hii tabia ya kuwezesha wanasiasa uchwara na vilaza kama huyu kupata nafasi nyeti inasababisha vijana wasisome waone wanaweza tu kuwa machawa na wakapata madaraka makubwa kwa kuendeleza uchawa na kukumbatia ccm

Mh. Rais Samia aone hili tatizo la huyu Waziri na amtimue ili kulinda heshima ya Serikali na ubora wa Elimu yetu nchini
 
NAPE KALIDANGANYA BUNGE KUHUSU ELIMU YAKE.

Katika kufanya Utafiti wangu kuhusu mapitio (background) ya elimu ya Waziri wa Habari,Mawasiliano na Teknolojia ya habari Bw.Nape Moses Nnauye

Nimeshtuka kuona Bunge linatangaza Waziri Nape Moses Nnauye amepata Elimu ya ADVANCED CERTIFICATE OF SECONDARY SCHOOL katika shule ya BUTIMBA TTC mwaka 1998 hadi mwaka 2000.

Nimelazimika kuwatafuta Walimu wenzangu waliosoma na kufanya kazi BUTIMBA TCC (Butimba teacher's college).

Wameshangaa na kushtushwa na taarifa ya Bunge inayohusu elimu ya Waziri Nape Moses Nnauye.

Ukweli ni kwamba BUTIMBA TCC haijawahi kuwa na shule ya Sekondari mwaka 1998 wala katika tovuti ya Baraza la Mitihani Tanzania alijawahi kusajili Shule ya Sekondari na kuipa mitihani mwaka 1998 hadi 2000 kwa Jina la "BUTIMBA TCC SECONDARY SCHOOL"

BUTIMBA TCC (Butimba teacher's college) ilianzishwa mwaka 1939 na wakoloni na Kujengwa shule ya msingi ya mazoezi (Teaching Practice) na wakoloni wenyewe kwa ajili ya mafunzo kwa Vitendo kwa Wanafunzi wa Ualimu.

Hata hivyo 28 January 2000 serikali ilianzisha shule mpya ya sekondari (Kutwa) ya BUTIMBA SEKONDARI SCHOOL (BUTIMBA DAY) ambayo kidacho cha Kwanza waliingia mwaka 2000 na Kumaliza mwaka 2003 kidato cha nne.

Ambapo kwa mujibu wa tovuti ya Bunge Nape alikuwa ameshamaliza kidato cha 6 Mwaka 2000 latika Shule ya Sekondari ya BUTIMBA TCC.

Lakini kubwa zaidi inaonyesha Nape Moses Nnauye hakusoma BUTIMBA TCC elimu ya kidato cha kwanza hadi cha nne bali alisoma kidato cha tano na cha sita katika Shule ambayo haipo wala haijawahi kuwepo.

Pichani ni tovuti ya Bunge kuhusu elimu ya Nape Moses Nnauye,Picha ya Pili ni kuhusu usajili wa Sekondari wa Butimba Day mwaka 2000.

Naomba kuwasilisha.

NAMALIZIA UTAFITI kuhusu Shahada ya Sheria pale OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA anayosoma Nape Moses Nnauye.

Imewezekanaje mwanafunzi aliyekosa qualificayion za Direct Entry za
1."Principal mbili" za ADVANCED CERTIFICATE OF SECONDARY SCHOOL ..?

2. Credit mbili za O-level ( History na English language Kusoma Sheria kinyume na Kanuni za TCU..?

3. au Mwanafunzi aliyekosa Equivalent qualifications za Diploma yenye G.P.A yenye 3.0 and above anawezaje kujiunga na Shahada ya sheria..?

Au mtafuta kuwapa lawama LAW SCHOOL OF TANZANIA..,

( Kaka ana madiploma Mengiiiiiiiii lakini hayana uzito)

4. au Bachelor degree kutoka Chuo kinachotambulika na TCU...? Siyo kama BANGALORE UNIVERSITY YA INDIA [emoji23][emoji23][emoji23]

La sivyo TCU mtuambie mtu akiwa CCM au Kiongozi wa Serikali Vigezo vya Kujiunga na elimu ya Juu kwake havizingatiwi sawa na Watanzania Wengine..?
View attachment 2841228View attachment 2841229
Nape na huyu mama aliyopo hapo juu wanafanana kwa 100 %
 
Inashangaza sana. Waziri kilaza kama huyu halafu anapewa kuendesha wizara nyeti kabisa nchini.

Hii tabia ya kuwezesha wanasiasa uchwara na vilaza kama huyu kupata nafasi nyeti inasababisha vijana wasisome waone wanaweza tu kuwa machawa na wakapata madadaka makubwa kwa kuendeleza uchawa na kukumbatia ccm

Mh. Rais Samia aone hili tatizo la huyilu Waziri na amtimue ili kulinda heshima ya Srrikali na ubora wa Elimu yetu nchini
Saa100 anafanana na nape kwa 100%
 
Butimba TTC

Kuna wakati mama Gaudensia Kabaka Mwenyekiti mstaafu wa UWT alikuwa mkuu wa Chuo pale

Private Candidate hufanya Mitihani popote pale usiteseke sana Boniyai 😂
Uwe unasoma vizuri na kuelewa ndugu. Butimba TCC iko registered in 2000 kwa level ya form up to form four. Wew msomi umemaliza form six mwaka 2000. 😀😀😀 Nacheka tu.
 
Makorokocho yote ulioandika yanafutwa na hoja Moja tuu. KITUO CHA PRIVATE CANDIDATE CHUONI HAPO KILIKUWEPO MIAKA MINGI
Soma vizuri

Usajili wa TCC 2000
Level Form I up to form IV

Msomi kamaliza Form VI mwaka 2000. How?
 
Mmefanya hadi Nepi amefunga comments! na kublock watu.

Ila tatizo ni katiba kuruhusu tu mtu awe mbunge ni ambaye anajua kusoma na kuandika.

Mbona mazero brain ni mengi sana mjengoni sema Nepi anaonekana kusemwa sababu analazimisha kufit pasipo.

Kama waziri nilitarajia kwenye account ya Nepi nione issue za AI na STEM ila niliishia kuona vijembe na mipasho kama ya boss wake wa kizimkazi hadi aliponiblock.
 
Hoja ya mtoa hoja mwaka husika hiyo shule ilishasajiliwa? Kama ni Private Candidate ingesoma Butimba TC.
 
NAPE KALIDANGANYA BUNGE KUHUSU ELIMU YAKE.

Katika kufanya Utafiti wangu kuhusu mapitio (background) ya elimu ya Waziri wa Habari,Mawasiliano na Teknolojia ya habari Bw.Nape Moses Nnauye

Nimeshtuka kuona Bunge linatangaza Waziri Nape Moses Nnauye amepata Elimu ya ADVANCED CERTIFICATE OF SECONDARY SCHOOL katika shule ya BUTIMBA TTC mwaka 1998 hadi mwaka 2000.

Nimelazimika kuwatafuta Walimu wenzangu waliosoma na kufanya kazi BUTIMBA TCC (Butimba teacher's college).

Wameshangaa na kushtushwa na taarifa ya Bunge inayohusu elimu ya Waziri Nape Moses Nnauye.

Ukweli ni kwamba BUTIMBA TCC haijawahi kuwa na shule ya Sekondari mwaka 1998 wala katika tovuti ya Baraza la Mitihani Tanzania alijawahi kusajili Shule ya Sekondari na kuipa mitihani mwaka 1998 hadi 2000 kwa Jina la "BUTIMBA TCC SECONDARY SCHOOL"

BUTIMBA TCC (Butimba teacher's college) ilianzishwa mwaka 1939 na wakoloni na Kujengwa shule ya msingi ya mazoezi (Teaching Practice) na wakoloni wenyewe kwa ajili ya mafunzo kwa Vitendo kwa Wanafunzi wa Ualimu.

Hata hivyo 28 January 2000 serikali ilianzisha shule mpya ya sekondari (Kutwa) ya BUTIMBA SEKONDARI SCHOOL (BUTIMBA DAY) ambayo kidacho cha Kwanza waliingia mwaka 2000 na Kumaliza mwaka 2003 kidato cha nne.

Ambapo kwa mujibu wa tovuti ya Bunge Nape alikuwa ameshamaliza kidato cha 6 Mwaka 2000 latika Shule ya Sekondari ya BUTIMBA TCC.

Lakini kubwa zaidi inaonyesha Nape Moses Nnauye hakusoma BUTIMBA TCC elimu ya kidato cha kwanza hadi cha nne bali alisoma kidato cha tano na cha sita katika Shule ambayo haipo wala haijawahi kuwepo.

Pichani ni tovuti ya Bunge kuhusu elimu ya Nape Moses Nnauye,Picha ya Pili ni kuhusu usajili wa Sekondari wa Butimba Day mwaka 2000.

Naomba kuwasilisha.

NAMALIZIA UTAFITI kuhusu Shahada ya Sheria pale OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA anayosoma Nape Moses Nnauye.

Imewezekanaje mwanafunzi aliyekosa qualificayion za Direct Entry za
1."Principal mbili" za ADVANCED CERTIFICATE OF SECONDARY SCHOOL ..?

2. Credit mbili za O-level ( History na English language Kusoma Sheria kinyume na Kanuni za TCU..?

3. au Mwanafunzi aliyekosa Equivalent qualifications za Diploma yenye G.P.A yenye 3.0 and above anawezaje kujiunga na Shahada ya sheria..?

Au mtafuta kuwapa lawama LAW SCHOOL OF TANZANIA..,

( Kaka ana madiploma Mengiiiiiiiii lakini hayana uzito)

4. au Bachelor degree kutoka Chuo kinachotambulika na TCU...? Siyo kama BANGALORE UNIVERSITY YA INDIA 😂😂😂

La sivyo TCU mtuambie mtu akiwa CCM au Kiongozi wa Serikali Vigezo vya Kujiunga na elimu ya Juu kwake havizingatiwi sawa na Watanzania Wengine..?
View attachment 2841228View attachment 2841229
Nimekuwa nashangaa siku zote how he even became a Minister.Yaani ukiwa kwenye chama tawala ukihiyo unakoma!?Ni mfano mbaya sana.
 
Soma vizuri

Usajili wa TCC 2000
Level Form I up to form IV

Msomi kamaliza Form VI mwaka 2000. How?
Bunge pale madijala ndio Kuna shida ya kusajili cv za watu. Fuatilia wengi zimekosewa
 
Back
Top Bottom