Boniface Jacob: Bunge limedanganya kuhusu elimu ya Nape Nnauye

Boniface Jacob: Bunge limedanganya kuhusu elimu ya Nape Nnauye

Baadaye Atakimbilia TCRA Na Ile Sheria Yake Ya Mtandao
Atasema Mnatenda Makosa Matupu
 
wana si hasa Bwana!
kwani dunia hii imeubwa wewe lazima upate kila kitu? ifike wakati wakubali shule hawaiwezi yaishe vinginevyo watajiona wamevaa nguo huku wakijua sisi tnawaona wakiwa uchi lakini vinywa vyetu hazitapiga kelele lakini nafsi zetu zitawadharau kila siku na kuwaona waarifu tu kama waarifu wengine na kamwe Amani haitatawala ndani mwao!
 
Duh duh, Jacob ana uhakika na hili kweli?


Hii nchi, nae Mbowe Form 6 kala yai, yaani kazungusha, Mbowe kapata Div 0 yeye kaamua kukaa kimya na Zero yake halali, kwenye mambo ya Elimu, Mbowe huwezi sikia akingoea kitu, kimya kabisa ila kwenye makelele ya siasa makelele mengi, hawa watu wenye makelele au utendaji mbovu elimu zao ni tatizo sana, wewe fuatilia wapiga kelele wengi iwe Chama chochote utaona tu elimu hakuna.
Tuko na Nappe na Jacob hao wengine aachana nao tunajua wako wengi ila kwa leo hawana nafasi
 
Back
Top Bottom