Boniface Jacob: Habari mbaya kuhusu Kombo Mbwana Twaha

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Kutoka kwenye kinywa chake, siyo mimi
1. Ametembezwa mikoa 10
2. Muda wote alikuwa amefungwa kitambaa cheusi machoni for all 29 days
3. Ameteswa kishenzi
4. Amevunjwa vidole
5. Mlo mmoja per day
etc etc etc
---
HABARI MBAYA KUHUSU KOMBO MBWANA TWAHA 😭😭😭

Baada ya kutoa UPDATES za kuhusu kutelekezwa Wazazi wa KOMBO nje ofisi ya RPC Tanga bila ruhusa ya kumuona mtoto wao na msaada wowote

Na baadae Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini wa CHADEMA Godbless Lema kuwapigia Jeshi la Polisi Tanga.

Mchana huu wazazi wa KOMBO na waliokuwa ofisi za RPC Tanga waliitwa na kuruhusiwa Kwenda Kumuona mtoto wao KOMBO wakiongozana na Viongozi wa CHADEMA ktk mahabusu ya Polisi CHUMBAGENI.

1.Kwa mara ya kwanza wamemuona Kombo akiwa amedhoofika sanaaaaaa (kimwili na Kiafya).

2.Kombo anasema alitekwa na kuzungushwa mikoa tofauti tofauti 10, kabla ya kurudishwa Tanga na kila alipokuwa anapelekwa alikuwa anahojiwa upya kwa mateso makali sana na vipigo.

3.Kombo anasema ameteswa na kuumizwa sana akiwa anahojiwa sana kueleza uhusiano kati yake na akaunti ya "KIGOGO" ya mitandao ya Kijamii na kulazimishwa aseme uhusiano wake na huyo anaye jiita KIGOGO mitandaoni.

4.Kombo amevunjwa kidole Kimoja cha mkononi na kubakia na jeraha ambalo hajawahi kupewa tiba yoyote wakati akiwa anateswa na kubanwa na kifaa maalum cha kubania vidole upate maumivu

5.Kombo anasema alifungwa kitambaa cheusi tangu atekwe tarehe 15 June 2024 hawajawahi kukitoa kwa siku zote
Zaidi ya siku wanamsainisha makaratasi ambayobhata hakujua wamenadika nini.

Jana mchana ndiyo walikitoa kitambaa cheusi walichomfunga usoni kwa mara ya kwanza.

6.Kombo anasema tangu wamteke tarehe 15 June 2024 amekuwa akipewa mlo mmoja tuh kwa siku zote alipokuwa chini yao.

7.kombo anasema kabla ya Kumrudisha Tanga,walimtaarifu watamuachia ila wamemtishia kuwa akisema lolote kuhusu yaliyo mtokea watamuua
kwakuwa wanapajua nyumbani kwake,kwamba watarudi muda wowote.

8.Kombo anasema huko alipokuwa kuna watu wengine wakiwa wapo katika hali kama yake ya kufungwa vitambaa na kupewa mateso makali sana,lakini hajui ni akina nani.

9.Kombo anasema yupo tayari kuyasema mateso yote waliyomfanyia tangu siku ya kwanza walipomteka mbele ya vyombo vya habari na Mahakamani pia.

Yupo tayari kwa lolote ikibidi kufa kwa sababu huko alipokuwa alisha Sali Sala na dua zote na kujikabidhi kwa Mungu baada ya kuona uwezekano wa kuendelea kuishi au kurudi tena uraiani haupo tena.

10.Wazazi wake na Viongozi waliokuwa wanamskikiza na kushuhudia akionyesha majeraha yake mwilini wamejikuta wanali sana.

N.B
Wazazi na viongozi wa CHADEMA wakiwa ofisi ya RPC Tanga, wamebahatika kuonana na mtu ambaye kitambulisho chake cha NIDA kiliokotwa eneo ambalo walimteka KOMBO kule handeni na mimi kukitangaza hapa akiwa ni Mwenyeji kituoni hapo.

Boniface Jacob
Ex-Mayor
A Voice of the silenced Majority.
 
Daaah!...Jamani: Shida nini ....CCM ni uchu wa madaraka tu huo?!...Futeni kibabe tu mfumo wa vyama vingi...ieleweke..Yaani kuwa CHADEMA ni kama mpigania uhuru wa bendera ambao tayari ulishapatikana..Mungu na amujalie afya njema Kombo na nafuu katika maumivu yake...
 
MAMA ANAUPIGA MWINGI SANA. MPAKA UNAMWAGIKA.
 
Kwahiyo awamu hii kama mwendazake! Huyu mama mnafiki kumbe
 
Aiseh!

Hii yote no maamuzi ya chama kimoja kukipahatimiliki ya Dola Kwa muda mrefu!

Madhara ndio haya ,upinzani unaonekana ni uadui was taifa!!

Wapinzani ni ndugu zetu walipakodi wenzetu damu yetu hawastahili mateso kabisa!!

The state fanyeni jambo komesha hii kitu ni aibu nyie mbona mpo!!?
 
Back
Top Bottom