SHINA LA MABAYA YA KILA AINA NI KUPENDA PESA, AMBAYO WENGI WAMEJICHOMA KWA MAUMIVU MAKALI.Kutesana kote huku kwa nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SHINA LA MABAYA YA KILA AINA NI KUPENDA PESA, AMBAYO WENGI WAMEJICHOMA KWA MAUMIVU MAKALI.Kutesana kote huku kwa nini?
mama yake nani au mama yako?Sina hakika kama Mama anayajua haya!
1. Timotheo 6:10SHINA LA MABAYA YA KILA AINA NI KUPENDA PESA, AMBAYO WENGI WAMEJICHOMA KWA MAUMIVU MAKALI.
Hili gozi jeusi by nature ni wavivu. Ukikuta watu wametengeneza mchongo wao wa kula hela za watu bila jasho usiguse kabisa, utatolewa uhai. Ndiyo CCM hao. Damu imeshaaanza kumwagika miaka kadhaa sasa, kunakaribia kupambazuka.Kutesana kote huku kwa nini?
Amina! Maccm ni majizi makubwa!Kitu wanachotakiwa kujua ni kuwa, hatutaogopa kusimama katika Kweli na HAKI.
More than Banana Republic s—-holeNchi ya hovyo sana hii
Ukiwa nyuma ya key board?Kitu wanachotakiwa kujua ni kuwa, hatutaogopa kusimama katika Kweli na HAKI.
....si kupenda tu...Hata kuiabudu piaSHINA LA MABAYA YA KILA AINA NI KUPENDA PESA,
Nayo hii ni sifa?Hivi nyie mshawahi kupelekwa kituo chochote cha police hapa nchini??
Itafika tu hata hapa. Kwa mwendo huu tunao kwenda nao sasa haiepukiki.Hii kauli wakenya wanaishi nayo kivitendo
Uoga wa raia ndio nguvu yao, raia wangekuwa fearless huu utumbo usinge sikia. Wange behaveKongole Boniface Jacob
Hata kama ni wananchi wanawajibika kuonesha uzalendo kwa taifa lao, lakini sio kwa matendo haya ya kishetani
Serikali yoyote duniani yenye viongozi wasiosikia na kuheshimu wananchi kupitia vyombo vya mabavu haina baraka duniani, kuzimu hata angani.
It is high time that Tanzanians say NO to this sort of rogue transgressions collectively. Period
Nitazungumza kwa uhifadhi rubondo, bila ushahidi ni porojo.Kila mtu amesikia kwa macho na masikio yake kuwa Jeshi la polisi linakiuka haki za binadamu kwa kutesa na kuumiza raia kwenye vituo vya polisi. Na hii ni ripoti ya tume ya haki za binadamu.
Pia askari wa jeshi la Uhifadhi Rubondo wametuhumiwa live kuwa wanavunja haki za binadamu kwa kutesa na kuua.
Sasa kama tume ya haki za binadamu imethibitisha kwa nini Chief Hangaya the great hajawawajibisha?
Unabishana na tume ya haki za binadamu?Nitazungumza kwa uhifadhi rubondo, bila ushahidi ni porojo.
Mnapotaka msikilizwe muwe na credible evidence sio story na hadithi
Hasira za nini bwana mdogo, una ushahidi au huna?Unabishana na tume ya haki za binadamu?
Nenda kawaulize tume ya haki za binadamuHasira za nini bwana mdogo, una ushahidi au huna?
Sitetei polisi hao wana yao, lakin kwa rubondo ushahidi unao?
Kumbe na ww mwenyewe huna uhakika ? Next time usikurupuke hii nchi huijui kijanaNenda kawaulize tume ya haki za binadamu
Mburukenge wewe kaa kimyaKumbe na ww mwenyewe huna uhakika ? Next time usikurupuke hii nchi huijui kijana