Boniface Jacob: Habari mbaya kuhusu Kombo Mbwana Twaha

Mikoa 10 si mchezo, angepanda basi angelipa zaidi ya milioni ila wamemtembeza bure, kafaidi sana
 
Kwasababu watekaji wamesema wanapajua kwao ni vizuri akaendelea kuishi huko huko polisi
 
Kutoka kwenye kinywa chake, siyo mimi
1. Ametembezwa mikoa 10
2. Muda wote alikuwa amefungwa kitambaa cheusi machoni for all 29 days
3. Ameteswa kishenzi
4. Amevunjwa vidole
5. Mlo mmoja per day
etc etc etc
---
HABARI MBAYA KUHUSU KOMBO MBWANA TWAHA 😭😭😭

Baada ya kutoa UPDATES za kuhusu kutelekezwa Wazazi wa KOMBO nje ofisi ya RPC Tanga bila ruhusa ya kumuona mtoto wao na msaada wowote

Na baadae Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini wa CHADEMA Godbless Lema kuwapigia Jeshi la Polisi Tanga.

Mchana huu wazazi wa KOMBO na waliokuwa ofisi za RPC Tanga waliitwa na kuruhusiwa Kwenda Kumuona mtoto wao KOMBO wakiongozana na Viongozi wa CHADEMA ktk mahabusu ya Polisi CHUMBAGENI.

1.Kwa mara ya kwanza wamemuona Kombo akiwa amedhoofika sanaaaaaa (kimwili na Kiafya).

2.Kombo anasema alitekwa na kuzungushwa mikoa tofauti tofauti 10, kabla ya kurudishwa Tanga na kila alipokuwa anapelekwa alikuwa anahojiwa upya kwa mateso makali sana na vipigo.

3.Kombo anasema ameteswa na kuumizwa sana akiwa anahojiwa sana kueleza uhusiano kati yake na akaunti ya "KIGOGO" ya mitandao ya Kijamii na kulazimishwa aseme uhusiano wake na huyo anaye jiita KIGOGO mitandaoni.

4.Kombo amevunjwa kidole Kimoja cha mkononi na kubakia na jeraha ambalo hajawahi kupewa tiba yoyote wakati akiwa anateswa na kubanwa na kifaa maalum cha kubania vidole upate maumivu

5.Kombo anasema alifungwa kitambaa cheusi tangu atekwe tarehe 15 June 2024 hawajawahi kukitoa kwa siku zote
Zaidi ya siku wanamsainisha makaratasi ambayobhata hakujua wamenadika nini.

Jana mchana ndiyo walikitoa kitambaa cheusi walichomfunga usoni kwa mara ya kwanza.

6.Kombo anasema tangu wamteke tarehe 15 June 2024 amekuwa akipewa mlo mmoja tuh kwa siku zote alipokuwa chini yao.

7.kombo anasema kabla ya Kumrudisha Tanga,walimtaarifu watamuachia ila wamemtishia kuwa akisema lolote kuhusu yaliyo mtokea watamuua
kwakuwa wanapajua nyumbani kwake,kwamba watarudi muda wowote.

8.Kombo anasema huko alipokuwa kuna watu wengine wakiwa wapo katika hali kama yake ya kufungwa vitambaa na kupewa mateso makali sana,lakini hajui ni akina nani.

9.Kombo anasema yupo tayari kuyasema mateso yote waliyomfanyia tangu siku ya kwanza walipomteka mbele ya vyombo vya habari na Mahakamani pia.

Yupo tayari kwa lolote ikibidi kufa kwa sababu huko alipokuwa alisha Sali Sala na dua zote na kujikabidhi kwa Mungu baada ya kuona uwezekano wa kuendelea kuishi au kurudi tena uraiani haupo tena.

10.Wazazi wake na Viongozi waliokuwa wanamskikiza na kushuhudia akionyesha majeraha yake mwilini wamejikuta wanali sana.

N.B
Wazazi na viongozi wa CHADEMA wakiwa ofisi ya RPC Tanga, wamebahatika kuonana na mtu ambaye kitambulisho chake cha NIDA kiliokotwa eneo ambalo walimteka KOMBO kule handeni na mimi kukitangaza hapa akiwa ni Mwenyeji kituoni hapo.

Boniface Jacob
Ex-Mayor
A Voice of the silenced Majority.
Kongole Boniface Jacob
Hata kama ni wananchi wanawajibika kuonesha uzalendo kwa taifa lao, lakini sio kwa matendo haya ya kishetani
Serikali yoyote duniani yenye viongozi wasiosikia na kuheshimu wananchi kupitia vyombo vya mabavu haina baraka duniani, kuzimu hata angani.

It is high time that Tanzanians say NO to this sort of rogue transgressions collectively. Period
 
Kutoka kwenye kinywa chake, siyo mimi
1. Ametembezwa mikoa 10
2. Muda wote alikuwa amefungwa kitambaa cheusi machoni for all 29 days
3. Ameteswa kishenzi
4. Amevunjwa vidole
5. Mlo mmoja per day
etc etc etc
---
HABARI MBAYA KUHUSU KOMBO MBWANA TWAHA 😭😭😭

Baada ya kutoa UPDATES za kuhusu kutelekezwa Wazazi wa KOMBO nje ofisi ya RPC Tanga bila ruhusa ya kumuona mtoto wao na msaada wowote

Na baadae Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini wa CHADEMA Godbless Lema kuwapigia Jeshi la Polisi Tanga.

Mchana huu wazazi wa KOMBO na waliokuwa ofisi za RPC Tanga waliitwa na kuruhusiwa Kwenda Kumuona mtoto wao KOMBO wakiongozana na Viongozi wa CHADEMA ktk mahabusu ya Polisi CHUMBAGENI.

1.Kwa mara ya kwanza wamemuona Kombo akiwa amedhoofika sanaaaaaa (kimwili na Kiafya).

2.Kombo anasema alitekwa na kuzungushwa mikoa tofauti tofauti 10, kabla ya kurudishwa Tanga na kila alipokuwa anapelekwa alikuwa anahojiwa upya kwa mateso makali sana na vipigo.

3.Kombo anasema ameteswa na kuumizwa sana akiwa anahojiwa sana kueleza uhusiano kati yake na akaunti ya "KIGOGO" ya mitandao ya Kijamii na kulazimishwa aseme uhusiano wake na huyo anaye jiita KIGOGO mitandaoni.

4.Kombo amevunjwa kidole Kimoja cha mkononi na kubakia na jeraha ambalo hajawahi kupewa tiba yoyote wakati akiwa anateswa na kubanwa na kifaa maalum cha kubania vidole upate maumivu

5.Kombo anasema alifungwa kitambaa cheusi tangu atekwe tarehe 15 June 2024 hawajawahi kukitoa kwa siku zote
Zaidi ya siku wanamsainisha makaratasi ambayobhata hakujua wamenadika nini.

Jana mchana ndiyo walikitoa kitambaa cheusi walichomfunga usoni kwa mara ya kwanza.

6.Kombo anasema tangu wamteke tarehe 15 June 2024 amekuwa akipewa mlo mmoja tuh kwa siku zote alipokuwa chini yao.

7.kombo anasema kabla ya Kumrudisha Tanga,walimtaarifu watamuachia ila wamemtishia kuwa akisema lolote kuhusu yaliyo mtokea watamuua
kwakuwa wanapajua nyumbani kwake,kwamba watarudi muda wowote.

8.Kombo anasema huko alipokuwa kuna watu wengine wakiwa wapo katika hali kama yake ya kufungwa vitambaa na kupewa mateso makali sana,lakini hajui ni akina nani.

9.Kombo anasema yupo tayari kuyasema mateso yote waliyomfanyia tangu siku ya kwanza walipomteka mbele ya vyombo vya habari na Mahakamani pia.

Yupo tayari kwa lolote ikibidi kufa kwa sababu huko alipokuwa alisha Sali Sala na dua zote na kujikabidhi kwa Mungu baada ya kuona uwezekano wa kuendelea kuishi au kurudi tena uraiani haupo tena.

10.Wazazi wake na Viongozi waliokuwa wanamskikiza na kushuhudia akionyesha majeraha yake mwilini wamejikuta wanali sana.

N.B
Wazazi na viongozi wa CHADEMA wakiwa ofisi ya RPC Tanga, wamebahatika kuonana na mtu ambaye kitambulisho chake cha NIDA kiliokotwa eneo ambalo walimteka KOMBO kule handeni na mimi kukitangaza hapa akiwa ni Mwenyeji kituoni hapo.

Boniface Jacob
Ex-Mayor
A Voice of the silenced Majority.
Alijuaje ni mikoa kumi ilhali alikua kafungwa kitambaa muda wote,au walikua wakimtajia mikoa!?..siungi mkono alichofanyiwa
 
Shida ya jeshi la polisi limejaa UVCCM tatizo limeanzia hapa usahili wa jeshi la polisi wanachukua vijana wa ccm kwanza...

Yan ni kama tumelud enzi za SS ya Hitler
 
Back
Top Bottom