Boniface Jacob: Habari mbaya kuhusu Kombo Mbwana Twaha

Mikoa 10 si mchezo, angepanda basi angelipa zaidi ya milioni ila wamemtembeza bure, kafaidi sana
 
Kwasababu watekaji wamesema wanapajua kwao ni vizuri akaendelea kuishi huko huko polisi
 
Kongole Boniface Jacob
Hata kama ni wananchi wanawajibika kuonesha uzalendo kwa taifa lao, lakini sio kwa matendo haya ya kishetani
Serikali yoyote duniani yenye viongozi wasiosikia na kuheshimu wananchi kupitia vyombo vya mabavu haina baraka duniani, kuzimu hata angani.

It is high time that Tanzanians say NO to this sort of rogue transgressions collectively. Period
 
Alijuaje ni mikoa kumi ilhali alikua kafungwa kitambaa muda wote,au walikua wakimtajia mikoa!?..siungi mkono alichofanyiwa
 
Shida ya jeshi la polisi limejaa UVCCM tatizo limeanzia hapa usahili wa jeshi la polisi wanachukua vijana wa ccm kwanza...


Yan ni kama tumelud enzi za SS ya Hitler
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…