Boniface Jacob: Habari mbaya kuhusu Kombo Mbwana Twaha

Kutesana kote huku kwa nini?
Hili gozi jeusi by nature ni wavivu. Ukikuta watu wametengeneza mchongo wao wa kula hela za watu bila jasho usiguse kabisa, utatolewa uhai. Ndiyo CCM hao. Damu imeshaaanza kumwagika miaka kadhaa sasa, kunakaribia kupambazuka.
 
Uoga wa raia ndio nguvu yao, raia wangekuwa fearless huu utumbo usinge sikia. Wange behave
 
Kila mtu amesikia kwa macho na masikio yake kuwa Jeshi la polisi linakiuka haki za binadamu kwa kutesa na kuumiza raia kwenye vituo vya polisi. Na hii ni ripoti ya tume ya haki za binadamu.

Pia askari wa jeshi la Uhifadhi Rubondo wametuhumiwa live kuwa wanavunja haki za binadamu kwa kutesa na kuua.

Sasa kama tume ya haki za binadamu imethibitisha kwa nini Chief Hangaya the great hajawawajibisha?
 
Nitazungumza kwa uhifadhi rubondo, bila ushahidi ni porojo.
Mnapotaka msikilizwe muwe na credible evidence sio story na hadithi
 
Apart from Mzee Mchonga, there's never been a President in Tanzania with a muscle to disband, splinter or reshuffle the security apparatus. The current status quo is not a mere happenstance but a design.​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…