Boniface Jacob: Habari mbaya kuhusu Kombo Mbwana Twaha

Samia hawezi kuchukua hatua zaidi ya kusema nendeni mkalitazame na hilo
 
Nitazungumza kwa uhifadhi rubondo, bila ushahidi ni porojo.
Mnapotaka msikilizwe muwe na credible evidence sio story na hadithi
Usikatae... Majeshi yetu hayana misingi ya social safeguards. Mara zote wanajiingiza kwenye mitego ya kuteka, kudhalilisha, kutesa na kudhulumu haki ya kuishi.
Social safeguard principles ni elimu mpya ambayo nahisi hata wewe detective bado itakutatiza!
 


Zamani wazigua
Hapo wangeshashitaki kwenye mahakama ya jadi.
Ingepigwa Kurujuan ya hatari, ingepiga kuanzia alotoa maagizo, alotekeleza, waloshiriki kukamata, walofanya vitambaa n.k.

Ungepatikana mrejesho tu ambao kuanza kuunganisha dots saingine ingechukua muda Pengine .

Lakini inauma nyie duuuh πŸ™†β€β™‚οΈπŸ€¦β€β™€οΈπŸ˜­
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…