Boniface Jacob: Rais Samia tunaomba Afande Mafwele anayetuhumiwa kumteka Sativa achunguzwe

Siku na wewe ukipigwa risasi na kunusurika kufa ndio utajua kwanini sativa, lisu na the like hawaogopi tena chochote.
 
Mafwele anatumwa na nani kuteka, kutesa, kupoteza na kuuwa wapinzani na wakosoaji?
 
Endelea kusambaza mkuu🤣🤣
 

Ajatumwa na mtu yeyote; ogopa mtu aliyepitia machungu ya mateso na Kuona Milango ya kifo; huwa hawaogopi tena
 
Umejibiwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…