Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bajeti anaitoa wapi?Mwanaharakati
Siku na wewe ukipigwa risasi na kunusurika kufa ndio utajua kwanini sativa, lisu na the like hawaogopi tena chochote.View attachment 3120462
Huyu kijana simfatilii uko twitter kabisa ila story yake ya kutekwa ninaifahamu.
Nilichostuka ni kukutana na post yake Instagram ikiwa imelipiwa kama tangazo ili iweze kuwafikia watu wengi.
Nikajiuliza huyu kijana jobless aliyetoka kuchangiwa matibabu anapata wapi pesa za kurusha matangazo Instagram?
Yeye ananufaika nini na post kama hizi zikienda viral?
Mimi sijamfollow Instagram ila amelazimsha nikutane na post yake kwa kuwa kalipia mapesa mengi lengo ni watu kama sisi tusio mfollow tuone post zake.
Mambo ya kulipia matangazo tunayaona kwa wafanyabiashara sababu wanategemea kupata faida sasa huyu anafaidika nini?
NANI YUPO NYUMA YA SATIVA?
Mafwele anatumwa na nani kuteka, kutesa, kupoteza na kuuwa wapinzani na wakosoaji?View attachment 3120462
Huyu kijana simfatilii uko twitter kabisa ila story yake ya kutekwa ninaifahamu.
Nilichostuka ni kukutana na post yake Instagram ikiwa imelipiwa kama tangazo ili iweze kuwafikia watu wengi.
Nikajiuliza huyu kijana jobless aliyetoka kuchangiwa matibabu anapata wapi pesa za kurusha matangazo Instagram?
Yeye ananufaika nini na post kama hizi zikienda viral?
Mimi sijamfollow Instagram ila amelazimsha nikutane na post yake kwa kuwa kalipia mapesa mengi lengo ni watu kama sisi tusio mfollow tuone post zake.
Mambo ya kulipia matangazo tunayaona kwa wafanyabiashara sababu wanategemea kupata faida sasa huyu anafaidika nini?
NANI YUPO NYUMA YA SATIVA?
stupid as stupid is, kwani yeye hawzi kujisimamia? Mbona mnakuwa na mawazo ya utumwa?NANI YUPO NYUMA YA SATIVA?
Endelea kusambaza mkuu🤣🤣View attachment 3120462
Huyu kijana simfatilii uko twitter kabisa ila story yake ya kutekwa ninaifahamu.
Nilichostuka ni kukutana na post yake Instagram ikiwa imelipiwa kama tangazo ili iweze kuwafikia watu wengi.
Nikajiuliza huyu kijana jobless aliyetoka kuchangiwa matibabu anapata wapi pesa za kurusha matangazo Instagram?
Yeye ananufaika nini na post kama hizi zikienda viral?
Mimi sijamfollow Instagram ila amelazimsha nikutane na post yake kwa kuwa kalipia mapesa mengi lengo ni watu kama sisi tusio mfollow tuone post zake.
Mambo ya kulipia matangazo tunayaona kwa wafanyabiashara sababu wanategemea kupata faida sasa huyu anafaidika nini?
NANI YUPO NYUMA YA SATIVA?
Shughuli anayoifanya anatumia budget kubwa.stupid as stupid is, kwani yeye hawzi kujisimamia? Mbona mnakuwa na mawazo ya utumwa?
View attachment 3120462
Huyu kijana simfatilii uko twitter kabisa ila story yake ya kutekwa ninaifahamu.
Nilichostuka ni kukutana na post yake Instagram ikiwa imelipiwa kama tangazo ili iweze kuwafikia watu wengi.
Nikajiuliza huyu kijana jobless aliyetoka kuchangiwa matibabu anapata wapi pesa za kurusha matangazo Instagram?
Yeye ananufaika nini na post kama hizi zikienda viral?
Mimi sijamfollow Instagram ila amelazimsha nikutane na post yake kwa kuwa kalipia mapesa mengi lengo ni watu kama sisi tusio mfollow tuone post zake.
Mambo ya kulipia matangazo tunayaona kwa wafanyabiashara sababu wanategemea kupata faida sasa huyu anafaidika nini?
NANI YUPO NYUMA YA SATIVA?
Kweli wewe ni jingalao. Hii post imekuchochea ufanye nini?dawa yake ni kuiripotia kama ni post ya kichochezi
Budget anatoa wapi na hana kazi anajiuguza yupo kitandani?Ajatumwa na mtu yeyote; ogopa mtu aliyepitia machungu ya mateso na Kuona Milango ya kifo; huwa hawaogopi tena
Umeshawahi kumchangia hela?Shughuli anayoifanya anatumia budget kubwa.
Jobless aliyechangiwa mpaka panadol anatoa wapi budget ya matangazo?
Nani anamtuma Sativa?
Ndio nilimchangia matibabu yake.Umeshawahi kumchangia hela?
Ulitumwa na nani umchangie?Ndio nilimchangia matibabu yake.
Umejibiwa?View attachment 3120462