Wakili Mwabukusi aapishwa rasmi kuwa Rais wa chama cha Wanasheria Tanganyika.
Wakili Boniface Mwabukusi ataendesha chama cha Wanasheria Tanganyika kwa Miaka mitatu.
Uapisho huo umefanyika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma.
Wakili Boniface Mwabukusi alitangazwa kuwa Mshindi wa Urais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) akiwashinda Wanasheria wengine watano waliokuwa wakiwania nafasi hiyo
Mwabukusi alishinda kwa Kura 1,274 huku Sweetbert Nkuba aliyekuwa akipewa nafasi kubwa ya kushinda akifuatia kwa Kura 807. Kwa matokeo hayo, Mwabukusi anakwenda kukiongoza Chama hicho cha Wanasheria kwa kipindi cha miaka mitatu.
Mawakili wengine waliokuwa wakiwania nafasi hiyo ni Kapt. Ibrahim Bendera aliyepata Kura 58, Paul Kaunda aliyepata Kura 51, Emmanuel Muga aliyepata Kura 18 na Revocatus Kuuli aliyepata Kura 7
Wakili Mwabukusi aapishwa rasmi kuwa Rais wa chama cha Wanasheria Tanganyika. View attachment 3060504
Wakili Boniface Mwabukusi ataendesha chama cha Wanasheria Tanganyika kwa Miaka mitatu.
Uapisho huo umefanyika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma.
Wakili Boniface Mwabukusi alitangazwa kuwa Mshindi wa Urais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) akiwashinda Wanasheria wengine watano waliokuwa wakiwania nafasi hiyo View attachment 3060503