Boniface Mwabukusi aapishwa kuwa Rais wa TLS. Aanza kazi rasmi

MaCCM yote mahali popote yalipo sasa hivi roho zinayauma ssna hadi mioyo inakaribia kuoasuka.
 
Kazi imeanza sasa!! Soma hiyoooooooooooo!!πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Kenya wanayo katiba mpya ,vipi maisha yao yamebadilika baada ya ujio wa katiba mpya?
Siyo Katiba Mpya tu, bali Kenya wanayo Katiba Mpya ambayo ni nzuri ukilinganisha na Katiba zilizopo katika nchi nyingi sana hapa Afrika na dunia nzima kwa ujumla.

Ubora maisha katika nchi ya Kenya pia ni mzuri zaidi kulinganisha na Tanzania, hili liko wazi kabisa. Hata Uchumi wa Kenya pia ni mkubwa ukilinganisha na Tanzania. Kwa ujumla Kenya wametuzidi kwenye nyanja nyingi sana za maisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…