Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Huyo jamaa naskia kapewa sumuDuu nikajua Makonda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo jamaa naskia kapewa sumuDuu nikajua Makonda
Mwacheni sasa Nape apumzike. Hamjaridhika tu?Nape akasimamie huo uchaguzi
Hutakisikia unachomani kukisikia hahahaa 😀Duu nikajua Makonda
Mkuu umejuaje hilo?Atagombea,lakini hato chaguliwa.
Lisemwalo lipo.Duu nikajua Makonda
Akishinda uchaguzi atapewa ushirikiano?Kesi ya Boniface AK Mwabukusi kupinga kukatwa kwenye Uchaguzi wa Rais wa Tanganyika Law Society kutolewa hukumu leo pale Mahakama kuu ya Tanzania
Jumaa Mubarak 😃
----
Mahakama Kuu ya Tanzania kanda ya Dar es Salaam leo, Ijumaa Julai 26.2024 imetoa hukumu ya kesi iliyokuwa imefunguliwa na Wakili wa kujitegemea Boniface Mwabukusi dhidi ya TLS (Chama cha Mawakili Tanganyika) ambapo Wakili Mwabukusi alikuwa anapinga maamuzi ya kamati ya rufani kumuengua kugombea nafasi ya Rais wa chama hicho katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika mapema mwezi ujao.
Baada ya kusikiliza hoja za pande zote mbili Mahakama imeridhika na hoja zilizotolewa na upande wa Mwabukusi ambapo sasa rasmi imetengua maamuzi ya kamati ya rufani ya TLS, hivyo kwa sasa Wakili Mwabukusi amerejeshwa kugombea nafasi ya Rais wa TLS.
Pia soma
Boma waaaaa!MWABUKUSI BOMAYEEE
Nasikia Nape ndiye atahesabu kuraMkuu umejuaje hilo?
Hapo ndiyo kwenye mtego, Lissu alifanyiwa mizengwe asigombee alipogombea na kushinda baada ya muda mfupi akapigwa risasi 16.Akishinda uchaguzi atapewa ushirikiano?
sungusia na timu yake wametia aibu sana, kisa wanatafuta ujaji sijui wanatafuta favour gani, ajabu sana.Hii ndio Taarifa ya sasa kutoka Mahakama Kuu
Sungusia ni gov puppetsungusia na timu yake wametia aibu sana, kisa wanatafuta ujaji sijui wanatafuta favour gani, ajabu sana.
ndio maana walifanya juu chini kumuengua asiwe mkurugenzi wa legal and human rights centre, sasa hata akipewa cheo chochote na serikali, kale kadada hana henga pale LGRC kataendelea kumzidi kipato mra tatu.Sungusia ni gov puppet
ASANTEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE BWANA YESU, ASANTEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE BWANA YESUHii ndio Taarifa ya sasa kutoka Mahakama Kuu