Boniface Mwabukusi ashinda kesi dhidi ya Tanganyika Law Society. Ruksa kugombea Urais wa Chama hicho

Boniface Mwabukusi ashinda kesi dhidi ya Tanganyika Law Society. Ruksa kugombea Urais wa Chama hicho

Kapigania haki yake sasa ameipata..
Vipi wasimtaka watafanya nae kazi? Binadamu akiona utajiri wa nafsi ulio kuwa mwengine atachukia... Badala ya kumuombea dua njema..
 
Habari njema hii,

Alishinda Mwabukusi atasaidia kuzuia WIMBI LA watu kupotea, IGP awajibishwe.
 
ndio maana walifanya juu chini kumuengua asiwe mkurugenzi wa legal and human rights centre, sasa hata akipewa cheo chochote na serikali, kale kadada hana henga pale LGRC kataendelea kumzidi kipato mra tatu.
Kuna hii kasumba ya gov kufungua kesi kwa wagombea wenye mrengo fulani, hii tabia haijaanza leo. Na kesi hizi zinakuwa hazina msingi ndio maana zinatupiliwa mbali, hizi kesi huwa zinakuwa designed kumvuruga muhusika, au kumchelewesha

Na wakikutana na muhusika mjanja basi utasikia wanafuta kesi, au anashinda.

Hii tabia si njema, inalipaka tope taifa
 
Chama dola kongwe kimeshindwa hatua ya uenguaji wagombea, sasa hatua ya mchakato mzima wa uchaguzi inafuata, je wataingilia uhesabu kura in Nape Nnauye voice
 
Back
Top Bottom