Boniface Mwamposa rekebisha tangazo lako la kugawa mafuta bure, mafuta tunanunua

Boniface Mwamposa rekebisha tangazo lako la kugawa mafuta bure, mafuta tunanunua

Mafuta na maji ya upako ni bure. Yale unayopewa pale yamenunuliwa hivyo kanisa linakupa bure upako wewe unalipia hela ambayo kanisa limenunulia.
Sasa c utapeli huo hkn kitu Kam hcho asitangaze kuwa Ni bure Ni utapeli uo watu wanajazan kule kumbe wamawaadaha

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Sas si hyo hyo buku natoa sadak

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
buku haitoshi kaka. tunataka kuanzia elfu kumi kama hadi buku ya mafuta unalalamika Jumapili kasali kwa Paroko wako tu, nitakuruisha pale mlangoni kabisa. Mimi naendesha radio nchi nzima, Tv nalipa posho wafanyakazi alafu unakuja na buku wakati lile eneo tu nalipia million 6 kila mwezi haupo seriously.
 
Ninachojua 99% ya Wanaosali Kwake ( Waumini ) wana Matatizo makubwa ya Akili na Milembe Hospital inawasubiri.
Sikupingi kwa hilo mkuu Knowledge intellectually ,well informed person popomatically sometimes ..
 
Back
Top Bottom