Wache ulopoke sana ipo siku ya mwenyewe atashudia dunia duara hiiWew mwenyewe una matatizo ya akili tatizo hujijui ipo siku utaletwa pale , na hakika utatoa ushuhuda wako
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wache ulopoke sana ipo siku ya mwenyewe atashudia dunia duara hiiWew mwenyewe una matatizo ya akili tatizo hujijui ipo siku utaletwa pale , na hakika utatoa ushuhuda wako
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Sas kwanin asipate pesa na anamtumikia mungu lzm apate pesa ndefu haswa uwez kuwa fukara huku unalitaja jina la mungu kila siku kila saa lzm utajirike MkuuBei ya mafuta kwa mwamposa
1000 tsh. Tu assume wamenunua watu
20,000 x1,000=20,000,000 per day
Akipiga siku zake mbili za weekend.
Gharama za hayo mafuta na kila kitu toa 5,000,000
Kwa wiki akipiga milion 35,000,00
Kwa mwezi ana 140,000,000 tsh.
Mjini akili tu na mipango......
Siyo kwelikuna line nyembamba sana kati ya Afrika na Ujinga
Nani aliwahi kufa.?
Babu anapesa huyu mtu hata mapima ya oliv anaweza nunua yule na Kisha ss kutupa kwa ruzukuAcha ubishi.ile Ni korie ilowekwa mzaituni kidogo.unajua mafuta ya mzaituni yalivo adimu na ghali wewe?unajua bei yake?
Extra virgin olive oil unajua chupa ya Lita tu inauzwaje?
Then Huyo mwamposa anunue madumu ya kutosha awamwagie pale myakanyage?
Anayatoa wapi ?
Ulinunua lzm ila usjali mungu awezi kukubali mtot wake atapeliweAlivyokuja Morogoro wahuni walitumia mpenyo wakawa wanauzia watu maji wakidai maji yake
Wajinga ndio waliwao
Hilo ndio tatiz dad Demi ,kuwa kwann atangaze Kutoa bure huku ukifika Ni pesa inatakiwaNadhani tatizo ni kutangaza yanapatikana bure
Bila kusahau buza ,mbagala na kisemvuleNa wavaa dera wa Temeke ni wahudhuriaji waaminifu sana.
Unakozea San janja weed ulitaka tuende kwa waganga Tena Bora yey analitaja jina la mungu was was na Hana ulozi kuliko huko unako kwenda ..siku ukipatwa na uchawi utamkumbuka mzee yuleKwani kuna mtu aliwatuma muende huko? si kiherehere chenu na kutokujielewa kwenu? mnajua kabisa jitu sanii linafanya biashara bado mnajipeleka tu, na bado awakamue kabisa mpaka damu nyambaff
Kwan ww humtumikii Mungu.? Mbona ww sio tajiri.?Sas kwanin asipate pesa na anamtumikia mungu lzm apate pesa ndefu haswa uwez kuwa fukara huku unalitaja jina la mungu kila siku kila saa lzm utajirike Mkuu
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Unatoka mkoa kuja kuchukua mafuta kwa tapeli, humo kichwani una nini wewe...Kwako Mtume na nabii Boniface mwamposa naomba sana sana urekebishe tangazo lako la kwenye radio kwani lmeleta upotoshaji mkubwa Sana ,unasema nanukuu.
"Mtume atagawa mafuta bureee kabisa", wakiti siyo Kweli maji na mafuta yanauzwa tena wauzaji wana kiburi sana kinachopatikan pale bure ni keki tu
Sina shida na wew kbsa ila unaleta taharuki mtu anatoka huko mkoani au hapa hapa DSM anakuja unamleta pale alfu anafika anajuwa kbsa kuwa mafuta Ni bure na tangazo amelisikia vzr kuwa mtume atagawa mafuta na maji buree wkt kiuhalisia maji na mafuta yanauzwa elf 1000.
Hili linakuaribia sana kwani watu wanasikia matangazo yako wanamiminika kanisani kwako wakifika pale maskni hawana hela za kununua mafuta tunaishia kugawana mafuta na hii hutokea Mara nyingi ktk siku za kuganyaga mafuta siyo sawa naomba utoe hicho kipengele Cha kugawa mafuta bure kwani hatupewi na tunajibiwa vby na wauuza mafuta.
@yakodaya
Baada ya kusema hayo nawasilisha
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Hapna Ni mizaituni sec [emoji113]Korie ile acha uhuni wewe...
Saawa mungu ataamua tu kwa vile mtumishi hyu hajaibuka Kama uyoga alianza safari ya kumtumikia mungu kitambo snaa siyo Jana Wala jusi Ni kitambo Sana hvyo mungu atuamulie juu ya nabii huyuKatika maisha muombe sana Mungu akupe hekima ya kutambua mambo ya kiroho na uwezo mzuri wa kufikiri. Hautageuzwa daraja la wengine kupitia kufikia malengo yao.
Tanzania! Tanzania! Afya ya Akili! Afya ya Akili!
Mbn wamekuwa wengi mnoZama za mitume na manabii nauona mwisho umekaribia
Hoja ya msingi ya post hii ni upotashaji unaotangazwa na "mtume"Utoke Mkoa ushindwe lipia maji ya buku. Au usikute yeye hajui kama maji yanauzwa.
Sasa wee nenda katumie kufiri....a utaleta mrejeshoNani aliwahi kufa.?
[emoji23][emoji23][emoji23] babu nikilona jina lako nacheka Sana siamini Kama Ni wee jusi ulikuwa unaporomosha matus ktk Uzi wa jama aliyeuwa panya road [emoji23][emoji23] dah mbag unanikumbusha mbali sna wee mpareKwan ww humtumikii Mungu.? Mbona ww sio tajiri.?
Exactly mkuu watu wanajuwa lbda watu hawan elfu Moja ya mafuta .hell zipo Bali tumetangaziwa kuwa zinatolewa buree kbsaaHoja ya msingi ya post hii ni upotashaji unaotangazwa na "mtume"
Mmmmm mkuu hii ni debate for another day, ngoja tupark leoHajaona popote watusi Ni wanyama mno wanauwan ovyo ovyo ndio maan amekataza mamb ya imani
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app