Boniface Mwamposa rekebisha tangazo lako la kugawa mafuta bure, mafuta tunanunua

Boniface Mwamposa rekebisha tangazo lako la kugawa mafuta bure, mafuta tunanunua

Bei ya mafuta kwa mwamposa

1000 tsh. Tu assume wamenunua watu

20,000 x1,000=20,000,000 per day

Akipiga siku zake mbili za weekend.

Gharama za hayo mafuta na kila kitu toa 5,000,000

Kwa wiki akipiga milion 35,000,00
Kwa mwezi ana 140,000,000 tsh.

Mjini akili tu na mipango......
Sas kwanin asipate pesa na anamtumikia mungu lzm apate pesa ndefu haswa uwez kuwa fukara huku unalitaja jina la mungu kila siku kila saa lzm utajirike Mkuu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Acha ubishi.ile Ni korie ilowekwa mzaituni kidogo.unajua mafuta ya mzaituni yalivo adimu na ghali wewe?unajua bei yake?
Extra virgin olive oil unajua chupa ya Lita tu inauzwaje?
Then Huyo mwamposa anunue madumu ya kutosha awamwagie pale myakanyage?
Anayatoa wapi ?
Babu anapesa huyu mtu hata mapima ya oliv anaweza nunua yule na Kisha ss kutupa kwa ruzuku

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kwani kuna mtu aliwatuma muende huko? si kiherehere chenu na kutokujielewa kwenu? mnajua kabisa jitu sanii linafanya biashara bado mnajipeleka tu, na bado awakamue kabisa mpaka damu nyambaff
Unakozea San janja weed ulitaka tuende kwa waganga Tena Bora yey analitaja jina la mungu was was na Hana ulozi kuliko huko unako kwenda ..siku ukipatwa na uchawi utamkumbuka mzee yule

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kwako Mtume na nabii Boniface mwamposa naomba sana sana urekebishe tangazo lako la kwenye radio kwani lmeleta upotoshaji mkubwa Sana ,unasema nanukuu.

"Mtume atagawa mafuta bureee kabisa", wakiti siyo Kweli maji na mafuta yanauzwa tena wauzaji wana kiburi sana kinachopatikan pale bure ni keki tu

Sina shida na wew kbsa ila unaleta taharuki mtu anatoka huko mkoani au hapa hapa DSM anakuja unamleta pale alfu anafika anajuwa kbsa kuwa mafuta Ni bure na tangazo amelisikia vzr kuwa mtume atagawa mafuta na maji buree wkt kiuhalisia maji na mafuta yanauzwa elf 1000.

Hili linakuaribia sana kwani watu wanasikia matangazo yako wanamiminika kanisani kwako wakifika pale maskni hawana hela za kununua mafuta tunaishia kugawana mafuta na hii hutokea Mara nyingi ktk siku za kuganyaga mafuta siyo sawa naomba utoe hicho kipengele Cha kugawa mafuta bure kwani hatupewi na tunajibiwa vby na wauuza mafuta.

@yakodaya

Baada ya kusema hayo nawasilisha

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Unatoka mkoa kuja kuchukua mafuta kwa tapeli, humo kichwani una nini wewe...
 
Katika maisha muombe sana Mungu akupe hekima ya kutambua mambo ya kiroho na uwezo mzuri wa kufikiri. Hautageuzwa daraja la wengine kupitia kufikia malengo yao.

Tanzania! Tanzania! Afya ya Akili! Afya ya Akili!
Saawa mungu ataamua tu kwa vile mtumishi hyu hajaibuka Kama uyoga alianza safari ya kumtumikia mungu kitambo snaa siyo Jana Wala jusi Ni kitambo Sana hvyo mungu atuamulie juu ya nabii huyu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kwan ww humtumikii Mungu.? Mbona ww sio tajiri.?
[emoji23][emoji23][emoji23] babu nikilona jina lako nacheka Sana siamini Kama Ni wee jusi ulikuwa unaporomosha matus ktk Uzi wa jama aliyeuwa panya road [emoji23][emoji23] dah mbag unanikumbusha mbali sna wee mpare

Kuhusu mafuta ya mwamposa leo sikujibu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom