PreGE2025 Boniphace Jacob (Boni Yai) ajiapiza kusema yote kesho Jumapili Mei 18

PreGE2025 Boniphace Jacob (Boni Yai) ajiapiza kusema yote kesho Jumapili Mei 18

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
SIKIA WEWE BWABWA NA MBONGA MBONGA ,BONI YAI HATA HAMA CHAMA ,BADALA YAKE ANAENDA KUANIKA UKWELI KUHUSU PESA MLIZO TOA KUNUNUA WAPINZANI
relax gentleman,
hakuna amani ndani ya chadema ndio maana hata wewe huna utulivu unaropoka tu :NoGodNo:
 
relax gentleman,
hakuna amani ndani ya chadema ndio maana hata wewe huna utulivu unaropoka


SIKILIZA WEWE CHAWA, Umeuoana nyomi ya kahama au hujaangalia?CHADEMA TUPO SANA TU .NA KESHO MNAUMBUKA

DAMU ZA WATU ZIWAPE LAANA ,DAMU ZA WATU MLIO UWA ZINENE NA FAMILIA ZENU
 
MBINGU ZIMENIRUHUSU KUSEMA

Baada ya kimya cha muda mrefu, hatimaye ibada ya Sabato ya leo nimesikia sauti ya ujumbe wa Mungu ikisema;

"Fili mi loqui ad salvandum populum meum"

(Mwanangu zungumza watu wangu wapone..)

Hivyo kesho, Jumapili, saa 6 :00 mchana, natarajia kuzungumza na viongozi wa CHADEMA Kanda ya Pwani pamoja na vyombo vya habari kuhusu hali ya siasa ndani ya chama na nje ya chama.

Waandishi wa habari wote mnakaribishwa. Mkutano utakuwa mubashara (live) kupitia akaunti za mitandao ya kijamii na YouTube pia.

"Hufunua mambo ya ndani ya gizani, na kuyaleta nuruni yale yaliyositirika sana." - Ayubu 12:22

Hana jipya huyu mbugira Fulani hivi
 
Back
Top Bottom